Software ya kutengeneza video/movie

Patasote

Member
Nov 20, 2012
16
2
Wakuu naomba tusaidieni kwa hili. Ni ipi software nzuri ya kutengeneza video na ku-design kama wanavyo design Kwenye TV like.. EATV, STAR TV etc.. Wakuu nisaidieni please!..

Wakuu naomba tusaidieni kwa hili. Ni ipi software nzuri ya kutengeneza video na ku-design kama wanavyo design Kwenye TV like.. EATV, STAR TV etc.. Wakuu nisaidieni please!..
 
Wakuu na0mba tusaidieni Kwa hili.Ni Ipi software Nzuri ya kutengeneza video na ku design kama wanavyo design Kwenye TV like.. EATV,STAR TV etc.. Wakuu nisaidieni please!..

  1. Ubora/Uzuri wa design hutegemea uwezo wa designer mwenyewe.
  2. Yoyote kati ya Adobe Premiere Pro, Sony Vegas Pro, Apple FinalCut Pro, Avid, Edius.

Tofauti ni preference ya mtumiaji. Mashabiki na wahafidhina wa Apple/Macintosh huwa na tabia kusifia products za apple na kuponda zingine mara nyingi unjustly.

Kwa maoni yangu tofauti na bingwa Mphamvu (respect), Adobe Premiere Pro ni nzuri na powerful. Kitu ambacho ningelalamika kuhusu Premiere ni Uslow wake katika "vikompyuta" vyetu vyenye uwezo mdogo ila kuanzia Premiere Pro CS5 ambayo ni natively 64bit, ukiwa na Graphic Card ya Nvidia yenye technology ya Cuda (sorry for techy info, important anyway), Adobe Premiere inakuwa na uwezo mkubwa wanaouita Mercury Playback Engine ambao ni balaa!! Hata Ubora wa Products za Macintosh za Graphics zinatokana na kompyuta za Apple kuwa na specification za juu na ndiyo maana zinauzwa bei kubwa. Kama huna pesa ukanunua "kikompyuta" dhaifu usilaumu Adobe Premiere.

Kwa watu wa Windows ambao hawana kompyuta zenye nguvu sana Sony Vegas Pro itawafaa. Kwa upenzi wangu binafsi Adobe Premiere Pro CS6 is both beautiful and powerful.

Go Adobe Premiere.

NB. Vipindi na Matangazo ya Televisheni huwa na Graphics zenye mbwembwe (Motion Graphics) ambazo kwa kawaida hutengenezwa kwa programu zisizo za editing kama tulizozitaja... kama unataka mbwembwe hizo basi fuatilia Adobe AfterEffects na software yoyote professional ya 3D animation.
 
Maelezo kuntu kabisa.
Ni kweli wahafidhina wa Mac wana promo za ajabu. Mimi hata sijawahi kufanya editing, nilisikia tu wakati nasoma journalism...
 
Ahsanteni Wakuu,nimeenda Youtube Nikaangalia Video Za adobe premiere Ni nzuri.
 
okay najua software zipo nyingi na trust me zinarequire high technical knw how, i love editing just like you i've tried a couple of softs ULEAD included ila zilinishinda(maana zinahitaji uweke a bit more effort) ila ma men everything changed nilipokutana na haka kakitu. Ni kadogo just abt 3MB's setup file, simple as hell like inakuwezesha kusplit videos anywhere na kuunga na zingine ambazo umezisplit unavotaka huku chini kuna timeline ya sauti inayokuwezesha kuseparate sound from vid na kuedit on ur liking. Effects unaad kirahic cjawahi ona. Men trust me kama you just like editing part time na hutaki shida just download this baby afu check tutorial zake 3 tu(nilichck intro na tutos 2 bac now i'm making mind blowing vids). Inabidi uitafte cna pc hapa ningekupa link ukiichukulia in Torrent ndo utafaidi maana kuna cracked version unapata ki2 PRO. VIDEOPAD EDITOR ndo jina lake, try t
 
Kwa anayejua simple software ya kutengeneza video isiyoacha watermark plz naomba aweke link hapa
 
mkuu rahisi zaidi inaitwa wimdows movie maker inafanya vitu vyote basic na inakuja kwenye windows kama hutaikuta nenda website ya microsoft utaipata.

Mimi hapa ninayoipenda inaitwa magix video pro x5 hii ina feature nyingi sana japo si proffesional sana ila ni rahisi kutumia

inavitu kama hivi
-uwezo wa kueka text kwenye video
-kubadilisha sauti ya video kueka yako
-kukata na kuunga vipande vya video
-kuna effect mbali mbali za kueka kwenye video.

Magix ni ya kulipia so itafute torrent
 
file size yake inaukubwa gani.
 
Kama unataka kufanya editing ambazo ni simple, unaweza kutumia Windows Movie Maker ambayo huja na Windows.
Pia unaweza ukacheck hii hapa Camtasia video editing ipo poa sana na ni rahisi kuitumia maana sio pro video editor.
 
Kwa anayejua simple software ya kutengeneza video isiyoacha watermark plz naomba aweke link hapa

Brother MOVIE maker ni nzuri but it lacks certain little things, alafu program zingine zinakua kubwa and complex so kujifunza zinaconsume alot of time(unless ni profession), that was until i met this bad boy (VIDEO PAD), this thing is crazy kwanza ni ndogo just (3mbs , and 4mbs uki extract) afu ina feature zote za movie maker plus unaweza kukata video kwa urahisi zaidi(just 1 button) afu inakutenganishia sound clips(inaweza handle multiple sound which you can adjust volume for each BTW) from video kirahisi enabling you to fix the audio you want wherever you want in the video with much more accuracy! also inakuwezesha kuweka slowmo sehom yeyote or kuspeed up and many many more. Inauzwa but i got a crack nimei upload for ya, also nmeweka link incase attachment ikisumbua.
C
HEERS

NCH VideoPad Video Editor Professional 2.11Crk_www.ghaly-putri.blogspot.com.7z
 
Attachments

  • VIDEO PAD.zip
    3.7 MB · Views: 364
camtasia studio ina features zote za movie maker na zaidi, mie naipenda sababu ni rahisi kuitumia na ina features kibao, tatizo lake ina hitaji mashine yenye specification kubwa ram angalau 2GB, na windows zaidi ya Xp maana inatumia dotnet framework 4.5 ambayo haiwi supported na winxp.
 
SASA MBONA MOVIE ZA BONGO NI UTUMBO MTUPU.. WAKATI NAONA WATU WANAANGUSHA PROGRAM HUMU NA INAONYESHA WANAZITUMIA.. Au ni kwa ajili ya Kutengenezea Video za Harusi
 
mkuu rahisi zaidi inaitwa wimdows movie maker inafanya vitu vyote basic na inakuja kwenye windows kama hutaikuta nenda website ya microsoft utaipata.

Mimi hapa ninayoipenda inaitwa magix video pro x5 hii ina feature nyingi sana japo si proffesional sana ila ni rahisi kutumia

inavitu kama hivi
-uwezo wa kueka text kwenye video
-kubadilisha sauti ya video kueka yako
-kukata na kuunga vipande vya video
-kuna effect mbali mbali za kueka kwenye video.

Magix ni ya kulipia so itafute torrent
Chief hii kitu magix mimi ninaitumia kutengenezea audio lakini huwa ninashangaa ninapoweka baadhi ya audio effects inaanza kukwamakwama nini tatizo mtaalam?
 
Chief hii kitu magix mimi ninaitumia kutengenezea audio lakini huwa ninashangaa ninapoweka baadhi ya audio effects inaanza kukwamakwama nini tatizo mtaalam?

mkuu si ina panel mbili? Ya advance user na ya begginer jaribu kuchange panel uangalie.

Kama still inakataa jaribu kudownload version nyengine.
 
Back
Top Bottom