Soda yangu

Elia

JF-Expert Member
Dec 30, 2009
3,425
567
Hii Soda vipi wana jf? nikianza kuinywa tu gesi inakwisha hasa nyakati za usiku, wakatimwingine nakunywa mpaka nusu, kabla sijamaliza ishaflet, mwanzoni haikuwa hivyo nilikuwa nakunywa mpaka mwisho ikiwa na gesi yake, Kuna wakati nilishauriwa nibadilishe aina ya kinywaji kwani ninachotumia eti hakina ubora pia niangalie expire date lakini wapi! Mwanamke anaridhika na mwanaume anayekula na kunywa vizuri kile anachoandaliwa. Kabla sijaanza kunywa nakuwa na hamu sana.
Nifanyeje?

nakuonea huruma ila hamna jinsi wengine hata kizibo cha chupa tu hawawezi ondoa sembuse wewe unakunywa kidogo ........

Hayo ya wengine! Marytina, mimi nilikuwa napiga zaidi ya moja na gesi bado wamo!

Kumbe ndiyo maana wengine wana -test kabla. Sasa kama hainyweki si kuachana nayo? Msijipe shida kesho mkiamua kukaa pamoja mkasalitiana. Kama haikongi kiu achana nayo tafuta maji ya dafu au ya mtungi unywe

Asante mkuu, hakuna njia ya kurekebisha iliyopo?

Hii Soda vipi wana jf? nikianza kuinywa tu gesi inakwisha hasa nyakati za usiku, wakatimwingine nakunywa mpaka nusu, kabla sijamaliza ishaflet, mwanzoni haikuwa hivyo nilikuwa nakunywa mpaka mwisho ikiwa na gesi yake, Kuna wakati nilishauriwa nibadilishe aina ya kinywaji kwani ninachotumia eti hakina ubora pia niangalie expire date lakini wapi! Mwanamke anaridhika na mwanaume anayekula na kunywa vizuri kile anachoandaliwa. Kabla sijaanza kunywa nakuwa na hamu sana.
Nifanyeje?

Mkuu hapo red kidogo umetoa mwanya japo si mkubwa wa soda kuonekana na wasiostahili
Ila jaribu kupunguza mawazo mkuu
Wakati unakunywa usiwe na mawazo kabisa, jaribu kuongea ongea kidogo
Then usichukulie soda kama kilevi kwamba unaanza kuiwazia ukilewa itakuaje
Isitoshe usiwe unapiga mafunda mfululizo, kutumia glasi kunasaidia, usinywee moja kwa moja kwenye chupa.
Halafu relax wakati wa kunywa soda, usiwe too serious

Ha ha ha ha CPU bana kumbe wayaweza weye??? Charger where are you????

Fasihi, tashtwitwi, tafsida, ngano ,vigano, vielezi, vivumishi, vitenzi at work. Safi sana hakuna SHAROBARO kutia neno.

Hii Soda vipi wana jf? nikianza kuinywa tu gesi inakwisha hasa nyakati za usiku, wakatimwingine nakunywa mpaka nusu, kabla sijamaliza ishaflet, mwanzoni haikuwa hivyo nilikuwa nakunywa mpaka mwisho ikiwa na gesi yake, Kuna wakati nilishauriwa nibadilishe aina ya kinywaji kwani ninachotumia eti hakina ubora pia niangalie expire date lakini wapi! Mwanamke anaridhika na mwanaume anayekula na kunywa vizuri kile anachoandaliwa. Kabla sijaanza kunywa nakuwa na hamu sana.
Nifanyeje?

Sasa na wewe unafungua soda masaa sita unaiacha wazi?? unategemea gesi isiishe??? Raha ya soda fungua kunywa yoooooooote. Bwana mie nammiss charger tu hapa wengine nyie wote feki ha ha ha msinishushue????????????!!!!!!!!!!!!!!!

Angalia na aina ya soda ndugu. Gesi ya fwanta na spaleta ni tofauti sana na koka na pepsi

Hiyo unayokunywa wewe ya zamani may b imekaa sana depo...jaribu zinazouzwa kwenye magym,mashuleni zinamagesi hadi utapaliwa!! Try u will never regret no more..

Nafikiri kwa sasa utakuwa umezembea kwenye kufwata rules za kunywa hiyoo soda yako coz first kabla ujanywa soda inatakiwa uiandae taritiib tena kwa upole,halafu uifungue bila pupa then uinywe bila papara isijeikakumwagikia at the same time uieleze ni jinsi gani inavyokuburudisha up to this i'm sure utaimaliza.

Nyunyuzia ndimu kidogo....... Halafu piga funda la kwanza taratibu bila mawazo na usiisikilizie. Utaona utamu wake...

Back
Top Bottom