Soda yangu

Hii Soda vipi wana jf? nikianza kuinywa tu gesi inakwisha hasa nyakati za usiku, wakatimwingine nakunywa mpaka nusu, kabla sijamaliza ishaflet, mwanzoni haikuwa hivyo nilikuwa nakunywa mpaka mwisho ikiwa na gesi yake, Kuna wakati nilishauriwa nibadilishe aina ya kinywaji kwani ninachotumia eti hakina ubora pia niangalie expire date lakini wapi! Mwanamke anaridhika na mwanaume anayekula na kunywa vizuri kile anachoandaliwa. Kabla sijaanza kunywa nakuwa na hamu sana.
Nifanyeje?

Mkuu naogopa kukufundisha jinsi ya kuinywa hiyo soda yako hapa jamvini ila nakuomba ukumbuke tu kuwa Deni ni Ahadi na nakuahidi nitakujibu katika PM na kukupa mbinu mpya za kuinywa hiyo soda,na haitaisha utamu kwani sisi wengine huwa tunakunywa soda hata saa nzima na haiishi utamu wala gesi.

Sasa na wewe unafungua soda masaa sita unaiacha wazi?? unategemea gesi isiishe??? Raha ya soda fungua kunywa yoooooooote. Bwana mie nammiss charger tu hapa wengine nyie wote feki ha ha ha msinishushue????????????!!!!!!!!!!!!!!!

Maushauri tu DA, sometimes utaambiwa usiwe na haraka take sometime before!
 
Kwa lugha iliyotumika hapa, utaelewana wewe na Mjomba Mrisho Mpoto
Hii Soda vipi wana jf? nikianza kuinywa tu gesi inakwisha hasa nyakati za usiku, wakatimwingine nakunywa mpaka nusu, kabla sijamaliza ishaflet, mwanzoni haikuwa hivyo nilikuwa nakunywa mpaka mwisho ikiwa na gesi yake, Kuna wakati nilishauriwa nibadilishe aina ya kinywaji kwani ninachotumia eti hakina ubora pia niangalie expire date lakini wapi! Mwanamke anaridhika na mwanaume anayekula na kunywa vizuri kile anachoandaliwa. Kabla sijaanza kunywa nakuwa na hamu sana.
Nifanyeje?
 
Hiyo unayokunywa wewe ya zamani may b imekaa sana depo...jaribu zinazouzwa kwenye magym,mashuleni zinamagesi hadi utapaliwa!! Try u will never regret no more..

Hizo za mashuleni mmhhhh!
 
Dawa ni Moja!!!Kwanza Kunywa kwa MRIJA!Nawakati unakunywa hakikisha mrija unainginza kwenye chupa unautoa wakati unatazama hiyo soda haitaisha tena gesi!!Utatamani utoboe gesi itoke!!Ila swali je kunakinywaji kingine unatumia??
 
Asante kaka, hapo kwenye bluu, Nimeacha kutumia vinywaji vingine nisije tu-ka-ni-ka!
 
Mkuu naogopa kukufundisha jinsi ya kuinywa hiyo soda yako hapa jamvini ila nakuomba ukumbuke tu kuwa Deni ni Ahadi na nakuahidi nitakujibu katika PM na kukupa mbinu mpya za kuinywa hiyo soda,na haitaisha utamu kwani sisi wengine huwa tunakunywa soda hata saa nzima na haiishi utamu wala gesi.

Paka Mweusi, naisubiri kwa hamu hiyo pm, pleeeese! it seem will be a long term solution
 
Maushauri tu DA, sometimes utaambiwa usiwe na haraka take sometime before!

Halafu hebu nambie soda yenyewe ni soda gani hiyo unayokunywa ya chupa au ya kopo???? Maana za chumba nazo mmmmhhh zinakuwa nyingi mno bora ya kopo fasta ushaimaliza gesi unaisikiizia baadae
 
DA, Natumia ya chupa, ya kopo huwa siipendi wadai sio nzuri kwa afya!
 
Husninyo, chemical zipi hizo? nidokeze kdg.

sasa, soda maji matupu, haina hata sukari wala rangi unafikiri gesi itapatikana.
Usixclude hata kemikali 1 na mchanganyiko uende kwa stages. Usitie rangi kabla hujatia sukari. Halafu usije ukatia majani ya chai.
Soda ibaki kuwa soda. Usiibadilishe wala usijifanye mjuzi sana.
 
...............ongeza ufundi na ubunifu kidogo............tia mrija,unywe huku unashikilia na kizibo.Ikibidi wekachumvi kidogo,cheua....endele kunywa kwani soda ni ya ko tuuuuuuuuuu
 
Sasa na wewe unafungua soda masaa sita unaiacha wazi?? unategemea gesi isiishe??? Raha ya soda fungua kunywa yoooooooote. Bwana mie nammiss charger tu hapa wengine nyie wote feki ha ha ha msinishushue????????????!!!!!!!!!!!!!!!

Daaaah
:lol::lol::lol::lol:
DA Khaaaaaaa!
:lol::lol::lol:
 
Back
Top Bottom