MWANASIASA HURU
Senior Member
- Oct 4, 2012
- 181
- 239
Pole sana Mkuu, kwa ushauri wangu kwanza naomba utulie, halafu huko ulikowekeza kata mawasiliano kabisa. Naomba ujue kuwa shetani yupo na hutumia watu kutimiza yake, pili hapendi ndoa na ndio maana mlipokosana kakupa wazo la kupata mchepuko na kakuandalia na kamfanya umuone anafaa.
Fanya mazungumzo ya kina juu ya hayo pamoja nae.
Kisha weka msimamo. Usiwe na jazba kwa lolote.
Ni udhaifu wake pengine so utambue na utafute suluhu.
Hiyo ndio ndoa.
Ahsante
Fanya mazungumzo ya kina juu ya hayo pamoja nae.
Kisha weka msimamo. Usiwe na jazba kwa lolote.
Ni udhaifu wake pengine so utambue na utafute suluhu.
Hiyo ndio ndoa.
Ahsante