Social media na ndoa yangu

Pole sana Mkuu, kwa ushauri wangu kwanza naomba utulie, halafu huko ulikowekeza kata mawasiliano kabisa. Naomba ujue kuwa shetani yupo na hutumia watu kutimiza yake, pili hapendi ndoa na ndio maana mlipokosana kakupa wazo la kupata mchepuko na kakuandalia na kamfanya umuone anafaa.

Fanya mazungumzo ya kina juu ya hayo pamoja nae.

Kisha weka msimamo. Usiwe na jazba kwa lolote.

Ni udhaifu wake pengine so utambue na utafute suluhu.
Hiyo ndio ndoa.
Ahsante
 
Mwanamke akiwa na matatizo ya ndoa atatafuta mtu wa kumwambia tu, either mama yake, dada, rafiki au huko kwenye social media. Sasa ni ule wakati mmeshayamaliza matatizo yenu, mama anakumbusha si alifanya hivi na vile, unajuta kwanini nilisema.
Ndo maana mnaambiwa muwe na kifuaa, wanawake wa siku hizi anaweza kutongozwa na shemej mtu au hata baba mkwe anasema kwa mume we akifikiri anajenga kumbe ndo anabomoa moja kwa moja, mitandaon a napata kipi cha maana like na comment? Mbona hii mitandao imekuja kivingine sasa
 
Sikiliza jamaa yangu kuwa kama mwanaume unayejielewa mbona issue hiyo mdogo Sana mnyang'anye hiyo smart phone halaf mnunulie simu ya kawaida na onyesha uko serious aache ujinga ukiona kama bado haeleweki mrudishe kwako akawaambie wazazi wake kuwa Facebook ndo iliyomuoa atabadilika, huo ujinga unashindwaje kumcontrol ubavu wako bwana bila usimpige ndoa nzuri ni ile ambayo kila mmoja anajitahidi kutafuta furaha ya mwenzake sasa yeye kuweka mambo ya ndani mtandaoni unaona like na comment zitamsaidia kutunza ndoa yake ujinga huo
Wanawake wa siku izi sijui ni nini kimewakuta yani asilimia 70 ni matatizo matupu,mimi wa kwangu nlitumbua na mimba ya kujifungua leo au kesho maana ni upuuzi sasa,unakaa na lijitu uko ndani lipo kama shetani.
 
Wanawake wa siku izi sijui ni nini kimewakuta yani asilimia 70 ni matatizo matupu,mimi wa kwangu nlitumbua na mimba ya kujifungua leo au kesho maana ni upuuzi sasa,unakaa na lijitu uko ndani lipo kama shetani.
Yaani sijui nini kimewapata mitandao wameipokea vibaya
 
Pole mkubwa..mim nakuunga mkono na maamuzi yako...love is two way not one way...
Nimepata hasira ghafla....!Jaman kuna wanaume wazuri mnoo lwa hali yoyote ile na kuna wanawake wazuri mnoo kwa hali yoyote ila shida ni je?Mbona ndoa au mahusiano mengi huwa hawa atu ambao ni wazuri kwa kala jambo huwa hawakutani...unakuta mwanaume katulia ..kajieshimu anajali familia lakini mke kimeo?,?Au mke mzuri anajiheshimu mwanaume kimeo?,?Why?????Roho wa mungu na msaada tu...!
 
ukishakuwa negative kwa mtu kamwe hauwezi kuona jema Lake, kamwe hauwezi kukubali anachokifanya, kamwe hauwezi kuwa na mawasiliano mema nae.
mahusiano mengi yamekua hivi wawili wanaishi kama maadui negativity imejaa ndani ya mawazo yao wanaona kugombana na kuachana ni jibu la matatizo yao.
hebu rudi nyuma kumbuka mema yake, kumbuka mlivyoanza and start from there,
 
Sasa ndugu ukiacha mke utat*mb@ wepi? Si ndio mwanzo wa kutafuta magonjwa huu! Mitandao ya kijamii imewaathiri watu wengi sana duniani na mkeo sio mtu wa kwanza. Cha muhimu kwa vile hawezi kujizuia juuya mambo ya kupost, mjengee uwezo wa kupost juu ya vitu kama siasa, michezo n.k vitu ambayo hativagusa familia yako kwa namna moja au nyingine... Kingine mfungulie akaunti huku JF ili akiwa anapata hamu ya kupost awae anapost huku.
 
Unataka Acha mke kisa Facebook tu??angalia hayo madongo ni Yapi,ana maumivu ya kihisia probably, muweke karibu mke yapaswa umjali na ajue unampenda, then mweleweshe tu upya asiweke ishu zenu huko
Pia na wewe mara moja moja si mbaya kumuweka mkeo watsap na fb,tafta picha kapendeza muweke mtag, caption hata ndogo tu 'my wifey' inatosha kumpa raha ajijue unampenda, to her anaamini kuwekwa mitandao ya kijamii ni mapenzi
Ila grow up mke haachwi kirejareja hivo
MKE WAKE ASHAAMBIWA MARA NYINGI BADO HASIKIII
 
Kabla ya kumuoa hukujua kuwa napenda attention hasa hizo za social networks?
Dawa naona kaka naye kwanza mzungumze mueleza vitu usivyovipenda cos ingawa kasi ya watoto kulelewa na single parent inaongezeka kwa kasi asikwambie mtu iyo situation ina impacts flani kwenye maisha ya hao watoto ,THINK TWICE BRO Mungu akupe busara ufanye maamzi sahihi pole
 
Huwa Sijui ni ulimbukeni wa mtandao au ni ukichaa wa mtandao.

Believe me mkuu tupo wengi sana tunaokerwa na hiyo tabia.

Ni upuuzi, ila sasa na wewe dawa yake ni ndogo.

Unfriend fb-Good umeshafanya

Viber na wassap hapo vyote vya nini!?

Jitoe Viber, ubakize wassap

Wassap fanya setting ambayo haitaonesha dp na status yako ambayo automatically na za wenzako hutaziona ikiwemo mkeo

Utaacha wangapi, hapo shukuru Mungu hujakutana na story inayokuhusu wewe humu jf.

Hata hii thread ni dongo kwa mkeo kupita jf.
 
Waungwana kila siku tunasema mwanamke ni tabia, ni nyie huwa wakwanza kupinga na kudai mwanamke tako, tabia tutavumikiana, sasa vumilieni tu hamna namna.

Sasa tukose tako na tukose na tabia.... Bora tung'ang'anie tako kwanza , at least linaonekana.
 
Nafikiri hakuna situation ambayo inafanya mtu mzima na akili yake aweke family matters kwenye public walls. Kuna mambo we disagree kabisa lakini mazungumzo ni priority number one. Maana mtu anapoamua kubehave immaturely hapo ndo shida inaanza. Kwanza haijengi zaidi ya kubomoa. Maana hata kama kulikua na masikilizano kidogo inaua kabisa hata hio kidogo. Pili, hata kama kulikua na mapenzi nayo yanakufa. Situation inakua mbaya kuliko mwanzo, ndio maana wahenga wanasema ziba ufa kabla hujajenga ukuta. Nafiri nidhamu kwanza mengine baadae. Hata kama unakereka ni vizuri ukatumia heshima kuwasilisha ujumbe wako. Hakuna mume anaejitambua atakusikiliza kama humuaproach kwa heshima.

Kweli mkuu Approach ni muhimu sana, siyo mwanamke anakuapproach km changudoa au Mwajuma nyamitako wa manzese au kama vile yupo saloon na mashosti zake sasa hapo heshima ya kumsikiliza itatokea wapi
 
Kabla ya kumuoa hukujua kuwa napenda attention hasa hizo za social networks?
Dawa naona kaka naye kwanza mzungumze mueleza vitu usivyovipenda cos ingawa kasi ya watoto kulelewa na single parent inaongezeka kwa kasi asikwambie mtu iyo situation ina impacts flani kwenye maisha ya hao watoto ,THINK TWICE BRO Mungu akupe busara ufanye maamzi sahihi pole

Wakati namuoa hata hakuwepo kwenye social networks kabisa, enzi hizo alikua na simu mchina ya tochi.
 
Huwa Sijui ni ulimbukeni wa mtandao au ni ukichaa wa mtandao.

Believe me mkuu tupo wengi sana tunaokerwa na hiyo tabia.

Ni upuuzi, ila sasa na wewe dawa yake ni ndogo.

Unfriend fb-Good umeshafanya

Viber na wassap hapo vyote vya nini!?

Jitoe Viber, ubakize wassap

Wassap fanya setting ambayo haitaonesha dp na status yako ambayo automatically na za wenzako hutaziona ikiwemo mkeo

Utaacha wangapi, hapo shukuru Mungu hujakutana na story inayokuhusu wewe humu jf.

Hata hii thread ni dongo kwa mkeo kupita jf.

Yap, kwa sasa nipo whatsapp tu. Japo yeye anakila kitu facebook, istagram, Imo, Viber na Whatsapp. Na nimefanya hizo setting toka mwaka huu uanze. Ila sina amani kabisa katika maisha yangu. Kuna kipindi nilianza michepuko kabisa ila sikufika mbali roho yangu inanihukumu sana. Niliaamua kuacha fasta, maana roho inavyonihukumu nakosa raha hata miezi na nikikumbuka mpaka leo najisikia vibaya. Mpango wangu ilikua niwe na watoto 3 au wanne lakini nimesitisha huo mpango kwa miaka 2 sasa. Maana siwezi kuendelea kuzaa nae kwa maisha haya. Mpk sasa hata sina msisimko nae wa kimapenzi maana mapenzi yameisha na naona napoteza muda wangu tu maana hakuna malengo mapya yatakayotimia katika situation hii. Ndo maana nikaamua kutooa tena na nitajikita kwenye shughuli zangu na kulea hao watoto.

Mzee unayajua madongo?
 
N
Wakati namuoa hata hakuwepo kwenye social networks kabisa, enzi hizo alikua na simu mchina ya tochi.
Nafikiri anza na plan A kwanza mnyang'anye hiyo simu mnunulie hizi za kawaida swala lakuachana iwe ni option ya mwisho baada ya hili kushindikana.
 
Back
Top Bottom