Japo mimi sio mtaalamu wa rays, lakini rays kibao zina madhara and yet tunazitumia, X-Rays, Gama Rays, Beta Rays, Ultra Violet Rays, Infrared Rays, Blue Tooth Rays etc etc, zote zina madhara na tunazitumia. TV zote za migongo, zinatumia cathode ray tube na zina emit rays!, minara yote ya simu inatoa emissions, computer screen zote zina emissions, hata high voltage power lines zina emissions, zote zina madhara and life goes on!.Hzo rays kama zna madhara basi kasheshe
Weka link!Tonight 12:30a.m to 3:30a.m cosmo rays entering earth from mars. switch off your mobile at night. Don't keep your cell with you & put it away while you are sleeping because they are dangerous rays. NASA BBC NEWS
Please pass to othrs, as received. .
Ni uzushi tu. Hii habari ipo tangu mwaka 2007 (pengine kabla ya hapo), lakinianayeipata sasa anaona ni mpya na anaanza kusambaza.Tonight 12:30a.m to 3:30a.m cosmo rays entering earth from mars. switch off your mobile at night. Don't keep your cell with you & put it away while you are sleeping because they are dangerous rays. NASA BBC NEWS
Please pass to othrs, as received. .