SMS za uwongo juu ya mionzi ipitayo leo usiku (Cosmos Rays Hoax)

amna kitu mkuu...hiyo msg iliibuka kwa kasi mwaka 2006 afu ikapotea ki mtindo tu...sasa naona kuna mjinga mmoja ameianzisha tena na ukifuatilia hiyo msg utakuta ilianza tar 8 mwezi huu ikisema usiku wa terehe hiyo bt cha ajabu mpaka leo inasema "usiku wa leo" na la zaidi NASA wenyewe walishathibitisha mda mrefu tu kuwa MARS haijawahi wala hawategemei kuwa inaweza kutoa COSMO wave....
 
Leo usiku saa 6:30 to 9:30 miale ya cosmo itaingia duniani kutoka sayari ya mars. Hivyo zima simu yako usiku na iweke mbali nawe usilale nayo kwa sababu ni miale hatari.chanzo cha habari ni
. NASA BBC NEWS
tafadahali wape taarifa wengine.


Hiyo ni msg nimetumiwa muda si mrefu, plz mwenye taarifa zaidi atujuze.
Wengine tunatumia simu na tuko nje ya mji.
 
Mie nimelala nayo tena ipo on......
Wala hakuna jipya lililotokea.............
 
Hu Ujumbe mimi nimetumia leo hii na kupigiwa Simu na ndugu yangu akini tahadhalisha
 
Its a fckd up hoax afu imeanzishwa na mtu asie na elimu kama angeandika source ni some far away collapsing star ingeaminika kidogo, eti from planet Mars! Mars is just like planet Earth kusema inaradiate cosmo radiation powerful enough to interfere with the electronics on earth is just stupid.
 
Jamamani tusipende kutishiana maisha wakati mgumu kama huu na hiyo mionzi iko wapi mi moyo unavaibrate nyie.
 
Inasadikika leo usiku saa 6;30 to 9;30 miale ya cosmo itaingia dunianitoka syari ya MARS.Hivyo zima simu yako usiku na usilale nayo sababu ni miale hatari.cnazo cha habari hii ni NASA BBC
 
Syori ya siku nyingi sana hii. Uwe unajishughulisha kupata habari basi na wewe, kha!
 
Inasadikika leo usiku saa 6;30 to 9;30 miale ya cosmo itaingia dunianitoka syari ya MARS.Hivyo zima simu yako usiku na usilale nayo sababu ni miale hatari.cnazo cha habari hii ni NASA BBC

Yaani niache kuongea na WARIDI mimi, nizime simu hiyo miale ya cosmo mimi inahusu nini?
 
Inasadikika leo usiku saa 6;30 to 9;30 miale ya cosmo itaingia dunianitoka syari ya MARS.Hivyo zima simu yako usiku na usilale nayo sababu ni miale hatari.cnazo cha habari hii ni NASA BBC

hamchoki na vituko vya uongo!
 
kwi kwi umecheki bbc ya mbagara mkuu maana hii habari haiwezi kuwa na ukweli maana tumeizoea ya siku nyingi na uwa inajirudia na ni hoax....
 
Ni leo ipi hiyo? maana jinsi hadhali yako ilivyo kila siku ni leo... au basi si bora ungesema kila siku?
 
wameanza walishalileata sana humu ina maana hiyo miale inapita mara ngapi? au kwakuwa ni 2013 hata hivyo cizimi cm yangu bebi wangu yupo mbali akipiga ntamwambiaje mimi nicje achika eti cosmo cjui miale loo!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom