sms ya mrembo...

Kuna sms zingine ukitumiwa unabaki hoi...
hujui ujibu nini....

kama hii niliyotumiwa juzi....

"nina diploma ya kukumbatia,degree ya kutomasa,
masters ya kubusu,uzoefu wa miaka 20 wa kupenda,utanipa
kazi gani ndani ya kampuni ya mwili wako?"

3707275098_2f055f2b37.jpg

.
mrembo mwenyewe ndo huyo hapo,
ni member hapa jf..
sijui nimjibu nini???

Mhh,hapa ndo penyewe

Mpe kazi kama huibi lakini
 
Kuna sms zingine ukitumiwa unabaki hoi...
hujui ujibu nini....

kama hii niliyotumiwa juzi....

"nina diploma ya kukumbatia,degree ya kutomasa,
masters ya kubusu,uzoefu wa miaka 20 wa kupenda,utanipa
kazi gani ndani ya kampuni ya mwili wako?"

3707275098_2f055f2b37.jpg

.
mrembo mwenyewe ndo huyo hapo,
ni member hapa jf..
sijui nimjibu nini???
Huyo kesha wahi fanya kazi kwangu!
Diploma, Digrii zake feki. Mjaribu uone!
 
Mashaka yangu ni huo uzoefu wa miaka 20, kwa miaka ishirini katomasa wangapi na hiyo master kapewa na wahadhiri gani? Kwa hiyo mkuu unatakiwa uwe na kazi ya level ya phd ili kuweza kumudu huo uzoefu na qualification hizo, good luck mpe kazi ya kutomasa!
 
Vingine si vitanda ni majeneza... mkilalia tu muda si mrefu mnaimbiwa ule mwimbo maarufu... ♫♪♫...njia ile ni nyembamba iyendayo uzimani...♫♪♫
 
Mashaka yangu ni huo uzoefu wa miaka 20, kwa miaka ishirini katomasa wangapi na hiyo master kapewa na wahadhiri gani? Kwa hiyo mkuu unatakiwa uwe na kazi ya level ya phd ili kuweza kumudu huo uzoefu na qualification hizo, good luck mpe kazi ya kutomasa!

Hahahahahahahaha unaweza kuwa na master lakini mwajiri mmoja tu na chuo alichopatia hiyo master kina hadhi ya juu tu nchini...LOL! BOSS mpe ajira
 
Back
Top Bottom