Duuuh kanisa la freemasons nini mkuu?
Umeona eee?
Duuuh kanisa la freemasons nini mkuu?
Teacher: Which crops does Africa export to Europe?
Student: Coffee
Teacher: Good. How many types do we have?!!
Student: Two types
Teacher: Very good. What are they?
Student: Coffee Annan and Coffee Olomide mpiga sebenes
Teacger: Mungu wangu wee...!! Kweli hapa sina mwanafunzi!
Kuna kichaa alkuwa kando ya bahari cku moja akitazama maj,akapita msela akamwambia vp man,'umeona nin kipya huko?'yule kichaa akamjibu'NAITAFAKARI SANA HII BAHARI INGEKUWA SUPU CJUI NINGEINYWA NA CHAPATI NGAPI.msela hoi domo waz
Mkristo kavamia futari
vyuuuuuuuup! Baada ya kula Sheikh si akamchagua asome dua ya kushukuru! Jamaa akatetemeka sana kwa kuogopa ila akajikaza kiume na kuanza kama ifuatavyo:
Jamaa: Ya Tawfiq
Watu: Amin
Jamaa: Ya Habib
Watu: Amin
Jamaa: Yaa Shabiby
Watu: Amin
Jamaa: Ya Abood
Watu: Amin
Jamaa: Ya Hood
Watu: Amin
Jamaa: Ya Scandnavia
Watu: Mhhhhhhhhhh
Jamaa: Ya Dar Express
Watu: Aaaaaaaaaaaa, kamata tia bakora mwanaharamu huyu!
jamani hii imenivunja mbavu kwa kwelimkristo kavamia futari
vyuuuuuuuup! Baada ya kula sheikh si akamchagua asome dua ya kushukuru! Jamaa akatetemeka sana kwa kuogopa ila akajikaza kiume na kuanza kama ifuatavyo:
Jamaa: Ya tawfiq
watu: Amin
jamaa: Ya habib
watu: Amin
jamaa: Yaa shabiby
watu: Amin
jamaa: Ya abood
watu: Amin
jamaa: Ya hood
watu: Amin
jamaa: Ya scandnavia
watu: Mhhhhhhhhhh
jamaa: Ya dar express
watu: Aaaaaaaaaaaa, kamata tia bakora mwanaharamu huyu!