SMS hizi! Ungefanyaje?

Mlevi kaanguka toka ghorofani fasta watu wakamfata kumsaidia wakamuuliza VIPI IMEKUAJE? Mlevi akajibu: "HATA SIJUI NA MIE NDO NAFIKA SASA HIVI..."
Kwi kwi kwi daa naona invisible aniletee msaada sasa maana mbavu zimeisha...
 
MC anamsifia Bi. Harusi

"Sasa nawapa sifa kubwa ya Bibi harusi. Tangu namfahamu huwa havai nguo za ndani!"
Watu wakaduwaa

MC "Narudia tena kwa msisitizo na sijakosea. Bi. Harusi huyu huwa havai kabisa nguo za ndani. Yeye anavaa za kutoka Italy, England na USA. Si za Tanzania. Hebu mshangilieni!"

Kila mtu "Ahaaaaaa...!"

Ivi kumbe tuna comedians wa kali ivi, we mkali bana..
 
Teacher: Which crops does Africa export to Europe?
Student: Coffee
Teacher: Good. How many types do we have?!!
Student: Two types
Teacher: Very good. What are they?
Student: Coffee Annan and Coffee Olomide mpiga sebenes
Teacger: Mungu wangu wee...!! Kweli hapa sina mwanafunzi!
 
ZABURI 23 YA WALEVI

Bwana ndiye mchungaji wangu sitapungukiwa na hela mfukoni, nijapopita katika vichochoro na mabonde ya vibaka sitaogopa chochote kwani kwani yeye yu pamoja nami, kwenye mitaro ya maji machafu hunilaza, kando ya barabara huniongoza nisigongwe na magari, nami nitakaa karibu na BAR milele, AMEN.
 
DINI IMANI BWANA:kuna jamaa aliingia msikitini na panga akakuta watu wanaswari,akauliza oya kuna muislam humu ndani,watu wote kimya akamchukua mmoja akaenda nae nje kumbe alikua anataka akamchinjie mbuzi,baada ya muda kidogo akarudi na panga lenye damu akauliza tena kuna muislam humu ndani jamani,watu wote mikono kwa shehe anaye swalisha,shehe nae akasema hivi jamani kuswalisha siku mbili tu mnaniita mwislam mie mwenyewe najifunza jamani,mwenyepanga akasema hivi nilikua ntaka wa kusaidia kuchuna ngoz ya mbuzi maana mwezenu kachinja,wote ahhhh,kisa panga unaikataa din duh

Hahahaaaa kwi kwiii Aisee umeniacha hoi mbaya
 
Mlevi kaanguka toka ghorofani fasta watu wakamfata kumsaidia wakamuuliza VIPI IMEKUAJE? Mlevi akajibu: "HATA SIJUI NA MIE NDO NAFIKA SASA HIVI..."
hahahhahha.................uwiiiiiiiiii...........hahahahahah.
 
Haaa kuna kamchezo nacheza hapa,kana chekesha sana hebu jaribu na wewe,weka simu yako vibration halafu itumbukize kwenye maji kisha i beep uone inavyo ogelea utapenda!
 
Haaa kuna kamchezo nacheza hapa,kana chekesha sana hebu jaribu na wewe,weka simu yako vibration halafu itumbukize kwenye maji kisha i beep uone inavyo ogelea utapenda!
Daa ka zuri sana kamchezo.. embu itumbukize yako kwanza nakubip.. subiri hapo hapo. Tehe tehe tehe..
 
Teacher: Which crops does Africa export to Europe?
Student: Coffee
Teacher: Good. How many types do we have?!!
Student: Two types
Teacher: Very good. What are they?
Student: Coffee Annan and Coffee Olomide mpiga sebenes
Teacger: Mungu wangu wee...!! Kweli hapa sina mwanafunzi!

Teh teh teh teh!!!! Mwanafunzi anafikiria mbali zaidi ya mwalimu...
 
Juz nilikua kanisani nikamwona m2 anavuta sigara live nikashangaa mpaka nikaangusha bia yangu uzuli pasta akuiona alikua bize na demu wake
 
Juz nilikua kanisani nikamwona m2 anavuta sigara live nikashangaa mpaka nikaangusha bia yangu uzuli pasta akuiona alikua bize na demu wake

Duuuh kanisa la freemasons nini mkuu?
 
Teacher: Which crops does Africa export to Europe?
Student: Coffee
Teacher: Good. How many types do we have?!!
Student: Two types
Teacher: Very good. What are they?
Student: Coffee Annan and Coffee Olomide mpiga sebenes
Teacger: Mungu wangu wee...!! Kweli hapa sina mwanafunzi!
Hii ndiyo kali. Maana nimecheka mpaka watu wamenishangaa. Ahsante mkuu nimeongeza siku.
 
Back
Top Bottom