Elections 2010 Slaa live Star tv akipiga kura

Wameshaaza kurusha live toka karatu inakatika katika sijui vipi
 
Nami niko Star TV nikisubiri kumuona Rais Mtarajiwa akitimiza haki yake ya kikatiba
 
Wamekatisha kidogo, wanamsubiri afike, usikate tamaa kumsubiri rais slaa akipiga kura
 
nami namsubiri kwa hamu, naamini hatajibu kwa jazba kama anayemaliza muda wake!
 
Hivi Dr Shein atakuja bara kupiga kura kweli !? Au ndo ameshaharibu kura yake?
 
anahojiwa kwa sasa! anajibu kama nilivyotarajia. kwa utulivu na uelewa mkubwa! bravo rais...
 
Cameraman Kama hajalewa chan'gaa basi ndio anaanza leo kujifunza kutumia camera
 
Nimefurahia sana remarks za First Lady wa Tano kuwa "yeye na mumewe watayaweza yote katika yeye awatiaye nguvu". Bravo Mr. & Mrs. Dr. Slaa Rais wa Tano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
 
Mama Slaa anaonekana akipewa nafasi hataruangusha, anaongea point kwa utulivu
 
Bravo, kama alivyouliza mwenzangu, hakuna mtandao wa internet unaorusha matangazo, sina uhakika na BBC
 
Back
Top Bottom