Mzalendo JR
JF-Expert Member
- Jun 6, 2012
- 1,193
- 515
Police ya Mwema na KOva? hahahahahaaaaaaaaaaaaa
Huyu anaweza kuwa ndio wale wale kina ACP Msangi. Mimi naungana na mwana JF mmoja humu ndani,nikipata tatizo nitapambana nalo kiume wala sitegemei POLISI Kama ilivyokuwa Miaka ya nyuma. POLISI IMEOZA TANZANIA.Mkuu wewe binafsi una imani na jeshi hlo especially kama kuna ishu inayohusu serikali na ccm!?
Bora angeweka wazi jeshi ambalo anataka limhoji ndipo angeeleweka, tatizo anajishitukia baada ya kutoa taarifa za kubuni.
Tazama yuaja na mawingu na kila jicho litamuona, hata waliomchoma na kabila zote za watu wataomboleza.
Jeshi la Polisi ni jeshi linalolinda usalama wa raia na mali zake, na ieleweke kuwa dhamana waliopewa inatokana na Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Inapotokea raia mmoja anaona maisha yake yapo hatarini, jeshi linawajibu wa kukusanya taarifa muhimu ili kutekelea majukumu yake ya kuhakikisha usalama unadumishwa.
Sasa Katibu Mkuu wa Chadema Wilbroad Slaa anapokataa kuhojiwa na jeshi la polisi kwa madai kuwa hana imani nalo, Ni muhimu kujitanabaisha dhahili jeshi gani ana imani nalo, Al-Shabab au Boko Haramu?
Kwa kuwa ni kiongozi wa ngazi ya juu wa CHADEMA anayetaka kuongoza nchi, kitendo hicho kinachohamasisha hamasa ya umma kutotii sheria bila shuruti, umma hauoni umuhimu wa kutoka hadharani na kulaani????
Nchi yetu ina utawala wa sheria (Rule of Law). Labda mnaofahamu kusoma sheria na kuifafanua tusaidiane kwa hili.
Dr Slaa ana maanisha kuwa hakuna jeshi la Polisi la serikali bali kuna jeshi la Polisi la CCM. Tunataka jeshi la polisi linalowajibika kwa serikali. Jeshi la polisi la serikali lingeshatoa ripoti ya kifaa alichowekewa Dr Slaa Dodoma.
Jeshi la Polisi la serikali lingeshawakamata watesaji wa Ulimboka,
Jeshi la Polisi la serikali lingeshakamata waliomtia tindikali kubenea na mwenzake.
Waliopo ni Jeshi la polisi la m/kiti wa Taifa wa CCM Mh. Jakaya M. Kikwete - siyo la Serikal.
DR Slaa hataki kuanzisha jeshi lake, anataka jeshi la polisi la serikali, lisilo na Chama cho chote. Elewa mkuu.