Slaa kuanzisha jeshi lake ?

Mkuu wewe binafsi una imani na jeshi hlo especially kama kuna ishu inayohusu serikali na ccm!?
Huyu anaweza kuwa ndio wale wale kina ACP Msangi. Mimi naungana na mwana JF mmoja humu ndani,nikipata tatizo nitapambana nalo kiume wala sitegemei POLISI Kama ilivyokuwa Miaka ya nyuma. POLISI IMEOZA TANZANIA.
 
nimesoma nimewaelea nikiwa kama raia mmojawapo wa TZ/tanganyika naona jeshi la polisi linazidi kukosa imani kwa watanzania.ningelishauri jeshi kutolea ufafanuzi baadhi ya mambo ambayo wanachi wana wasiwasi nayo ili kurudisha iamni kwa umma.
 
Siamini kama kuna watu bado wana imani na jeshi la polisi ili ninalolijua mimi, hili jeshi la raia kunegotiate na askari kabla ya kushughulikia madai yake, ili jeshi la mtuhumiwa kugeuka muarifu kabla ya kufikishwa mahakamani, ili jeshi lenye taarifa za kiintelijensia za maandamano ya wapinzani tu, ili jeshi lenye kuuza ushahidi kwa yeyote mwenye dau kubwa ili kipindisha mambo, ili jeshi lenye kudhulumu mali za raia wakati wa 'kuanzisha kwao fujo'
Kama kuna mtu ana imani na jeshi ili sioni sababu ya kwanini asiamini rais wa nchi ni DHAIFU.
 
Bora angeweka wazi jeshi ambalo anataka limhoji ndipo angeeleweka, tatizo anajishitukia baada ya kutoa taarifa za kubuni.
Tazama yuaja na mawingu na kila jicho litamuona, hata waliomchoma na kabila zote za watu wataomboleza.

Ewe mwana wa vumbIi

tahadhali usItembee na muovu na usitafute urafiki naye, kwamaana urafiki wa namuna hiyo huigeuza nuru ya moyo Kuwa moto wa jehanam.

Ukweli ni musingi wa njema zotee
 
Jeshi la Dr. Ni Jeshi la mungu na wapenda haki. Ole wenu Polisi CCM haki ndio hukumu ya kwanza kwa mola. Mola ibariki TZ.
 
Jeshi la Polisi ni jeshi linalolinda usalama wa raia na mali zake, na ieleweke kuwa dhamana waliopewa inatokana na Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Inapotokea raia mmoja anaona maisha yake yapo hatarini, jeshi linawajibu wa kukusanya taarifa muhimu ili kutekelea majukumu yake ya kuhakikisha usalama unadumishwa.

Sasa Katibu Mkuu wa Chadema Wilbroad Slaa anapokataa kuhojiwa na jeshi la polisi kwa madai kuwa hana imani nalo, Ni muhimu kujitanabaisha dhahili jeshi gani ana imani nalo, Al-Shabab au Boko Haramu?

Kwa kuwa ni kiongozi wa ngazi ya juu wa CHADEMA anayetaka kuongoza nchi, kitendo hicho kinachohamasisha hamasa ya umma kutotii sheria bila shuruti, umma hauoni umuhimu wa kutoka hadharani na kulaani????

Nchi yetu ina utawala wa sheria (Rule of Law). Labda mnaofahamu kusoma sheria na kuifafanua tusaidiane kwa hili.

ww utakua una miaka chini ya 10 usielewa anachoeleza SLAA licha ya kutoa maelezo yenye mifano hai! KEEP IT UP kujipendekeza cku zenu znahesabika tutawatandika wote nyie vibaraka na hao mabos wenu mafisad na watesi wetu! M4C
 
Dr Slaa ana maanisha kuwa hakuna jeshi la Polisi la serikali bali kuna jeshi la Polisi la CCM. Tunataka jeshi la polisi linalowajibika kwa serikali. Jeshi la polisi la serikali lingeshatoa ripoti ya kifaa alichowekewa Dr Slaa Dodoma.

Jeshi la Polisi la serikali lingeshawakamata watesaji wa Ulimboka,
Jeshi la Polisi la serikali lingeshakamata waliomtia tindikali kubenea na mwenzake.
Waliopo ni Jeshi la polisi la m/kiti wa Taifa wa CCM Mh. Jakaya M. Kikwete - siyo la Serikal.

DR Slaa hataki kuanzisha jeshi lake, anataka jeshi la polisi la serikali, lisilo na Chama cho chote. Elewa mkuu.

Nimeipenda hapa Mkuu!
Siongezi neno!
 
Hi mm sikutukani NITAKUPIGA.... this is holy ****
kwani hujui jeshi la polisi wee..??? acha kupinga open issues, idle mind, kilaza 100%

Jeshi la Polisi ni jeshi linalolinda usalama wa raia na mali zake, na ieleweke kuwa dhamana waliopewa inatokana na Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Inapotokea raia mmoja anaona maisha yake yapo hatarini, jeshi linawajibu wa kukusanya taarifa muhimu ili kutekelea majukumu yake ya kuhakikisha usalama unadumishwa.

Sasa Katibu Mkuu wa Chadema Wilbroad Slaa anapokataa kuhojiwa na jeshi la polisi kwa madai kuwa hana imani nalo, Ni muhimu kujitanabaisha dhahili jeshi gani ana imani nalo, Al-Shabab au Boko Haramu?

Kwa kuwa ni kiongozi wa ngazi ya juu wa CHADEMA anayetaka kuongoza nchi, kitendo hicho kinachohamasisha hamasa ya umma kutotii sheria bila shuruti, umma hauoni umuhimu wa kutoka hadharani na kulaani????

Nchi yetu ina utawala wa sheria (Rule of Law). Labda mnaofahamu kusoma sheria na kuifafanua tusaidiane kwa hili.
 
Jeshi la Polisi ni jeshi linalolinda usalama wa raia na mali zake, na ieleweke kuwa dhamana waliopewa inatokana na Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Inapotokea raia mmoja anaona maisha yake yapo hatarini, jeshi linawajibu wa kukusanya taarifa muhimu ili kutekelea majukumu yake ya kuhakikisha usalama unadumishwa.

Sasa Katibu Mkuu wa Chadema Wilbroad Slaa anapokataa kuhojiwa na jeshi la polisi kwa madai kuwa hana imani nalo, Ni muhimu kujitanabaisha dhahili jeshi gani ana imani nalo, Al-Shabab au Boko Haramu?

Kwa kuwa ni kiongozi wa ngazi ya juu wa CHADEMA anayetaka kuongoza nchi, kitendo hicho kinachohamasisha hamasa ya umma kutotii sheria bila shuruti, umma hauoni umuhimu wa kutoka hadharani na kulaani????

Nchi yetu ina utawala wa sheria (Rule of Law). Labda mnaofahamu kusoma sheria na kuifafanua tusaidiane kwa hili.

Yani wewe ni mpuuzi mkumbwa usiyekuwa na hata chembe ya uzalendo na nchii hii na unaejipendekeza upewe cheo ili mzidi kuifisadi nchi hii...ni mara ngapi ushaidi usiokuwa na shaka kuhusiana na tuhuma mbalimbali mfano ni sakata la Dr.Mwakyembe, kataja majina,number za simu,,hoteli,,,magari mpaka leo pana lolote lililofanyika?tafakari kido matamshi tata kuhusu ugonjwa wa mwakyembe kati ya hao wakuu wako waliokutuma kukebei na kuhoji mahamuzi ya Dr.Slaa......kumbuka vizuri wakati wa kampeni Dr alipokuta vinasa sauti vimewekwa jumbani kwake alilipoti,police walikuja na kukuta kila kitu pana lolo lililotolewa mpaka leo.....ipo siku haki na ukombozi wa kweli utapatikana......recall the touching words of DR.P.SLAA....katika ukombozi pana watu watakaokuwa mbegu,no doubt He is the one and many others like Dr.Ulimboka....
 
Back
Top Bottom