amwataka kabla hawajamkamata wamkamate kwanza OCD ambaye alishirikishwa kikamilifu wakati Wabunge wa chadema wakishambuliwa
star tv[/QUOTE
Siasa za U-Yanga na U-Simba zitatufikisha wapi Watanzania?.Hivi kunatathimini yoyote juu ya dhana nzima ya mnyukano huu wa Polisi and the so called Dr. Slaa?.Napata shida pale judgement inapo kuwa affilliated na biasness or mapenzi ya moyoni ama zaidi ''mahaba''. Sioni sababu ya kushabikia majibu ya Slaa kwa upenzi, let us stick to the facts juu ya sintofahamu hii rather than USHABIKI wa mtaani.
Unahitaji kuwa kiongozi tena Rais, unapotoa shutuma kwa mihimili static kama JWTZ,Polisi,Mahakama na pengine Usalama wa Taifa kwa midadi ya kisiasa kuna shida hapa. Huwezi ukawa na complete overhaul ya system iliyopo immediately like that.
Slaa anapaswa kuheshimu Mamlaka iliyopo na kuepuka majibizano yasiyo na tija kwa Taifa hasa kwa kipindi hiki.Wote tunaoshabikia ama mshabikia Slaa hatuna kizingiti cha kuzuia asikamatwe. Mbowe alitisha kwa kujibu, tukamshabikia, akajisalimisha, akawekwa ndani zaidi ya siku tano na kupelekwa Arusha kwa Helicopta sisi tuliokuwa mashabiki wake tulifanya nini? Ama Slaa ni bora zaidi kuliko Mbowe?
Tuache ushabiki na tuzingatie facts kwa ustawi wa Chama na Taifa kwa ujumla.
Mungu ibariki Tanzania, Mungu ibariki Africa.
facts ni kwamba watu wamepigwa mapanga mbele ya Polisi na wahusika mpaka leo hawajifikishwa mahakamani na hakuna kesi iliyofunguliwa polisi wanawajua waliofanya shambulio hilo kwa maana lilifanywa chini ya usimamzi wao na ili kustawisha taifa lazima vyombo vya kulinda usalama wa raia vishinikizwe ili viifanye kazi kama vilivyokusudiwa.