Sizitaki Mbichi Hizi!!

Kuna kile kitabu kina simulize ya Andunje sijui ilikuwa darasa la ngapi ?.
 
Halafu kuna kingine kilikuwa na shairi zuri kweli.

Karudi Baba mmoja toka safari ya mbali.

Karudi baba mmoja, toka safari ya mbali,
kavimba yote mapaja, na kutetemeka mwili,
watoto wake wakaja, ili kumtaka hali,
wakataka na kauli, iwafae maishani.

Akatamka mgonjwa, ninaumwa kwelikweli,
hata kama nikichanjwa, haitoki homa kali,
roho naona yachinjwa, kifo kina nikabili,
kama mnataka mali, mtayapata shambani.

Wakazidi kumchimba, baba mwenye homa kali,
baba yetu watufumba, hatujui fumbo hili,
akili zetu nyembamba, hazijajua methali,
kama tunataka mali, tutapataje shambani?

Kwanza shirikianeni, nawapa hiyo kauli,
fanyeni kazi shambani, mwisho mtapata mali,
haya sasa buriani, kifo kimeniwasili,
kama mnataka mali mtayapata shambani.

Alipokwisha kutaja, fumbo hili la akili,
mauti nayo yakaja, roho ikaacha mwili,
na watoto kwa umoja, wakakumbuka kauli,
kama mnataka mali, tutayapata shambani.

Shamba wakapalilia, bila kupata ajali,
mavuno yakawajia, wakafaidi ugali,
wote wakashangilia, usemi wakakubali,
"KAMA MNATAKA MALI MTAYAPATA SHAMBANI".
 
Baba umenirudisha miaka ile ya neema..
 
hahahaaaaa....! asee umenikumbusha mbaaali sana asee...! yani umenikumbusha mbali kweli kweli maeneo ya BUMBULI mkoani tanga wilayani lushoto..!
 
nashukuru kwa picha hii na kwa shairi, limenikumbusha mbali ile kinoma..dah??//primary kitabu hiki nilipitia.
 
Upatu shujaa,
asiyesikia la mkuu huvunjika guu,
juma na uledi
siku ya gulio katelelo
nondo mla watu
 
nashukuru kwa picha hii na kwa shairi, limenikumbusha mbali ile kinoma..dah??//primary kitabu hiki nilipitia.
Ilikuwa kabla mitaala haijachakachuliwa. enzi hizo kulikuwa na somo linaitwa sayansi kilimo, Sayansi kimu nk. Sasa hivi ni uharo mtumu, eti Stadi za kazi mara Maarifa ya jamii au kuna somo linaitwa TEHAMA....Teh, usiniulize kirefu chake maana wanafunzi wa MAGWILA Chalinze hawaelewi kitu kwenye hili somo
 
hahahahaaaa aseeee umenichekesha kweli kweli..! teh teh teh teh..!
 
Mgongo asante kwa shairi, kuna haka kabeti kamesahaulika.. kaweke kwenye pale kable ya beti ya lmwisho

Wakazipanda shambani, mbegu nyingi mbalimbali,
Toka zile za mibuni, hata zitupazo wali,
Na mvua ikaja chini, wakaona na dalili,
Kama tunaka mali, tutazipata shambani.

Halafu kuna kingine kilikuwa na shairi zuri kweli.

Karudi Baba mmoja toka safari ya mbali.

Karudi baba mmoja, toka safari ya mbali,
kavimba yote mapaja, na kutetemeka mwili,
watoto wake wakaja, ili kumtaka hali,
wakataka na kauli, iwafae maishani.

Akatamka mgonjwa, ninaumwa kwelikweli,
hata kama nikichanjwa, haitoki homa kali,
roho naona yachinjwa, kifo kina nikabili,
kama mnataka mali, mtayapata shambani.

Wakazidi kumchimba, baba mwenye homa kali,
baba yetu watufumba, hatujui fumbo hili,
akili zetu nyembamba, hazijajua methali,
kama tunataka mali, tutapataje shambani?

Kwanza shirikianeni, nawapa hiyo kauli,
fanyeni kazi shambani, mwisho mtapata mali,
haya sasa buriani, kifo kimeniwasili,
kama mnataka mali mtayapata shambani.

Alipokwisha kutaja, fumbo hili la akili,
mauti nayo yakaja, roho ikaacha mwili,
na watoto kwa umoja, wakakumbuka kauli,
kama mnataka mali, tutayapata shambani.

Shamba wakapalilia, bila kupata ajali,
mavuno yakawajia, wakafaidi ugali,
wote wakashangilia, usemi wakakubali,
"KAMA MNATAKA MALI MTAYAPATA SHAMBANI".

Mmhh, kweli tumetoka mbali. Enzi hizo watu tulikuwa na amani. Hata kama nchi haikuwa tajiri lakini tuliridhika kwani hata viongozi wetu waliishi kama wananchi wa kawaida. Hakukuwa na akina EL, EC wala RA.
 
pic.jpg

Imekukumbusha nini.....
 
Tulivyokua tunaiba maembe, ndizi , elimu, na machungwa migombani kwa watu.:lol:
 
Tulivyokua tunaiba maembe, ndizi , elimu, na machungwa migombani kwa watu.:lol:

hapo kwenye red hivyo vimatunda vitamu/vichachu vimepotelea wapi siku hizi

:focus: umenikumbusha unavizia mazambarua, mapera kwa jirani unafika home umechelewa unapata viboko
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom