Sizitaki Mbichi Hizi!!

Aisee! Hapa unazungumzia kukojoa mkojo upi?

Kaunta ya juu leo week end huwa napanda saa moja jioni mpaka liamba....... yaani saa kumi na mbili nakuwa nailea mimba ya bibi yenu na kufungua njia then ndo naenda kaunta ya juu.

Kama hujaelewa uliza.........
Khaaaaa!babu lzm hata km uko hm utakuwa na mizinga kadhaa za mikono juu kichwani!
Basi usiendelee kunielewesha nishakuelewa tayari lol!
Nahic nikiuliza tena pc inaweza kuzima gafla nikashindwa kujua uliandika nn!
Vp babu jpli utaenda kusali wapi?
 
Haaaa haaa haaa,my babu habari yako binafsi kwanza!
Naona leo unadili na vijana wako,ungeongeza ubeti mmoja wa kuwatia moyo kuwa wasijali wakajipange upya na kuweka vina na mizani lol!
Siku hizi watu wanamalizana kwa sms tu na km ni kibuti ni humo humo wala hakuna kurusha ngumi!
Babu hii kitu mie niliimba sana enzi hizo darasa la tatu km sikosei na mwalimu wangu mpendwa Foibe!
Nakutakia wikend njema Babu!

:photo::photo:
 
:photo::photo:
Nakupendeaga hapo tu kaka, macho yako huwa yanaona mbali sana... Mie yangu macho tu kaka, nilikuchagua uwe msemaji wangu mkuu bt nahisi kazi imeanza kukushinda.. Toa tamko hutoi, umekuwa jk kaka?
 
Thank X-paster kwa kutukumbusha tujifunze lugha yetu . Hivi ilikuwani darasa na nne au la tatu?
 
hii kwa kumbukumbu zangu mahususi ni darasa la tatu. nakumbuka vizuri wakati nakaa chini tena kwenye vumbi na mawe pale shule ya msingi buzuluga -nyakato mwanza.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom