mfereji maringo
JF-Expert Member
- Nov 19, 2010
- 1,037
- 251
:sad: wakuu ninatumia windows 7 ktk laptop, sasa naambiwa zimebaki siku 6 natakiwa niiupdate os (win7), swali zikiisha hizo siku 6 itakuwaje? na nifanye nini ili niendelee kuitumia win 7 hata baada ya hizo siku sita? nimedisable windows updates. ushauri tafadhali.