Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 50,532
- 113,667
Huyu Mhe. Sitta aache kutuzeveza na kauli za wafikishwe mahakamani, kwani ilipogundulika Mhe. Chenge anavile vijisenti nje amefanywa nini?.
Kwani kumiliki fedha nje ya nchi ni kosa kisheria?!. Kosa ni hizo fedha umezipataje!.
This is a tip kwa wasio fahamu, kwa level fulani ya uongozi, due to unstabilities ya siasa za bara la Africa viongozi fulani wa juu hushauriwa kuhifadhi fedha nje kwa matumizi ya just in case, na akimaliza term yake salama bila coup, fedha hizo hutakiwa kurejeshwa nchini, na ndivyo ilivyofanyika kwa awamu ya Nyerere, sasa kama hawa waliofuatia hawajazirejesha ni jukumu la serikali kuziomba zirejeshwe rasmi!. Nawaombeni sana msiniulize nimejuaje!. Wala msiulizie kama hata Mwalimu Nyerere alihifadhiwa fedha hizi for just incase, please!.
Pasco.