Sitta: Msiisubiri Serikali kutaja walioficha mabilioni...

Huyu Mhe. Sitta aache kutuzeveza na kauli za wafikishwe mahakamani, kwani ilipogundulika Mhe. Chenge anavile vijisenti nje amefanywa nini?.

Kwani kumiliki fedha nje ya nchi ni kosa kisheria?!. Kosa ni hizo fedha umezipataje!.

This is a tip kwa wasio fahamu, kwa level fulani ya uongozi, due to unstabilities ya siasa za bara la Africa viongozi fulani wa juu hushauriwa kuhifadhi fedha nje kwa matumizi ya just in case, na akimaliza term yake salama bila coup, fedha hizo hutakiwa kurejeshwa nchini, na ndivyo ilivyofanyika kwa awamu ya Nyerere, sasa kama hawa waliofuatia hawajazirejesha ni jukumu la serikali kuziomba zirejeshwe rasmi!. Nawaombeni sana msiniulize nimejuaje!. Wala msiulizie kama hata Mwalimu Nyerere alihifadhiwa fedha hizi for just incase, please!.

Pasco.
 
Dhaifu wanasubiri hao jamaa wahamishe iyo mi fweza alafu walete longo longo zao. INAUMA SANA
 
Mmh thats a lot of dough! Watu wanatakiwa wawe na hela kama wamezipata kwa means za halali, lakini kinachoniuma zaidi wamepata hela tz haijalishi kwa njia gani na bado wanaitoa hela hapa na kuipeleka abroad! Kama wangewekeza hapa watu wengi sana wangepata ajira.
 
You left more questions than answers!
Unaposema 'inaruhusiwa', ni kisheria, kikanuni ama? I mean, ni makubaliano ya kikanuni ama kimaandishi? Na fedha zinarudishwa kishkaji?
Huyu Mhe. Sitta aache kutuzeveza na kauli za wafikishwe mahakamani, kwani ilipogundulika Mhe. Chenge anavile vijisenti nje amefanywa nini?.

Kwani kumiliki fedha nje ya nchi ni kosa kisheria?!. Kosa ni hizo fedha umezipataje!.

This is a tip kwa wasio fahamu, kwa level fulani ya uongozi, due to unstabilities ya siasa za bara la Africa viongozi fulani wa juu hushauriwa kuhifadhi fedha nje kwa matumizi ya just in case, na akimaliza term yake salama bila coup, fedha hizo hutakiwa kurejeshwa nchini, na ndivyo ilivyofanyika kwa awamu ya Nyerere, sasa kama hawa waliofuatia hawajazirejesha ni jukumu la serikali kuziomba zirejeshwe rasmi!. Nawaombeni sana msiniulize nimejuaje!. Wala msiulizie kama hata Mwalimu Nyerere alihifadhiwa fedha hizi for just incase, please!.

Pasco.
 
Wezi wa Tanzania wataiba leo na hata milele iwapo hatutopata Rais mwenye uchungu na nchi hii akafumua muundo wa utawala wote na kuufanya upside down ili kila kitu kiwe wazi. Naye ni kiongozi kutoka CDM.
 
Yaani wewe unakubali kuibiwa halafu kupewa kazi ya kuosha vyombo! Hii attitude sijui itatutoka lini!
Mmh thats a lot of dough! Watu wanatakiwa wawe na hela kama wamezipata kwa means za halali, lakini kinachoniuma zaidi wamepata hela tz haijalishi kwa njia gani na bado wanaitoa hela hapa na kuipeleka abroad! Kama wangewekeza hapa watu wengi sana wangepata ajira.
 
Wakitajwa wakapelekwa mahakamani majaji watanunuliwa majumba na magari kutumia hizo hela za uswiss watakuja sema hakuna ushahidi wa kutosha wataachiwa tushaizoea hii serikali na mahakama zetu
 
Kulindana hadi mwisho...Membe njia ya kukutoa ndio hiyo..nenda kazidai hizo pesa zije kujenga madawati faster

Kama Membe naye asingekuwa DHAIFU kama kakake huu ndo ulikuwa wakati mwafaka wa kutengeneza jina! Ila mkuu naomba niulize suali dogo, hivi madawati yanajengwa au yanatengenezwa? Manufacturing of teachers, LIWALO NA LIWE!
 
kama jk aliwahi anawajua wezi wa epa na akawaomba warudishe na kuna siku alisema anawajua wanaouza madawa ya kulevya na akasema atawaja....mliwahi kumsikia akifanya hivyo??
 
Mpaka sitta anaamua kusema hivyo kuna kila dalili tosha kuwa serikali ya CCM ni dhaifu. haiwezekani mpaka Zito kabwe aseme hiyo hoja bungeni na wengine washadadie kama sita ili kupata umaarufu usiokuwa na tija. huyo kigogo yuko katika serikali ambpo yeye(sita) ni waziri. kauli hii ya sita inamdhalilisha yeye na chama chake.
 
Sitta nae ni mnafiki tu, pamoja na kuwa Acting. Prime Minister anajifanya hajui haya makitu.......anawategea makamanda wa M4C na Jamii Forum aje kudandia kwa mbele, tumemstukia
 
Yeye kama waziri na kigogo wa CCM atuletee progressive report ya tuliowahi kuwataja......aanze na List of Shame ya Dr.Slaa
 
Hata huyu Sita anawajua.
Asiwashangae wenzake wanaoipa muda serikali kutaja.
wote wanawaogopa mafisadi.
 
kwenye utawala wa kikwete zimefichwa sh.12/= tirioni, wakati bajeti ya serikali kwa mwaka ni 14/= tirioni, kumbe hiyo pesa inauwezo wa kuendesha serikali kwa mwaka mzima bila wahisani kutia chochote.!!? halafu mtu anakuja na majibu ya hovyo hovyo eti hajui kwanini nchi yake ni maskini....nyambafuuu!!!
 
Ama kweli hii nchi haifai! yaani watu wanasemekana wamekwiba na hakuna hata chombo cha serikali kinachoingilia ili kuijua kama kuna ukweli gani kuhusiana na hilo jambo? then kuchukua hatua!, hivi hata sielewi kama hata serikali ya Tanzania ina exist! la haula nchi yangu Tanzania.
 
Back
Top Bottom