sitaki kumpoteza pia nahisi hana muda wa kutosha!

Huwa napenda sana kuwashauri watu kuwa na break baada ya kuvunja mahusiano, ni muhimu sana........ Kipindi hicho mtu unakuwa hujielewi hasa Kama mahusiano yaliyovunjika yalikuumiza sana. Unaweza kuishia kujiumiza zaidi au kuumiza watu wengine.
mimi sielewi Huyu mtoa mada analalamika nini........ Kipindi cha kuandaa mishahara ni kifupi na kitapita, mbaya zaidi huwa kinajirudia kila mwezi...... Sasa utakuwa unatulalamikia Kila mwezi unaogopa kumpoteza mtu? Halafu mimi naona wewe ndo una hofu ya kupotezwa, lol!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom