Sirro: Jeshi linatambua Makosa ya kimtandao yanayofanywa na Mange Kimambi na linashughulikia

Nyie ndio machizi mlio nchadema we kwa akili yako unafikiri kabisa anasema kweli anapo kwambia ana siri za Siro? hahahahah
Kheee!!

Mange kasema ana siri za Sirro?

Naona bifu kati ya makamanda...yaani Kamanda Mange vs Kamanda Sirro, linanukia.

Leo IGP amatangaza rasmi kwamba MANGE KIMAMBI ni mhalifu anayetafutwa na Dola namna ya kumnyamazisha. Hilo linatokana na mwanadada huyo kuwa mmoja wa watumiaji mtandao kwa kadri anavyoona yeye inafaa.

Police wapo kwa ajili ya kutusaidia sisi tuishi salama. Wao wanawajibika kwa ajili yetu. Hivyo basi wakisema fulan ni adui wa taifa maana yake ni adui yetu sisi wananchi na sio tembo bugani.

Sasa ww ukiwa mtumiaji wa mtandao na mtanzania unamwonaje mwanadada huyo. Je ni adui wa taifa!? Toa maoni yako hapa ili tuwasaidie police kumpinga huyu ambaye kamanda wetu mkuu IGP amelazimika kumtolea tamko. Ina maana huyu sio mtu wa kawaida mpaka IGP kuutangazia umma wa watanzania.

Je uzito wa IGP unafanana na anayemtafuta na makosa anayotenda.??

Mimi siegemei kokote!! Ila namalizia kwa kusema Tanzania tunasafari ndeeeeefu kufika nchi ya ahadi!!
ee5c75022ec3705f4dc16790b39df7bd.jpg
 
Hajatangaza bali alikuwa anajibu swali toka kwa mwanahabari. Ulitaka akae kimya?
 
Hapana tatizo ni kwamba ukweli unauma na ukiangalia kwa jicho pevu yule mdada anatoa siri nzito za viongozi wa serikali ambazo hazitakiwi kufika kwa raia moja kw moja and in other side yule mdada anapenda sana kutoa povu yan hana break kwenye mdomo wake what she feels to speak is what is taken out,
Mange sio adui bali maadui wa taifa tunao humu humu nchini.

Kw upande wangu sioni kama ni adui wa taifa bali humu ndani ya taifa ndimo kuna maadui wa hili taifa kwan bila wao mange asingeweza kupata mambo yote yanayoendelea humu nchini na kuya publish kweny medias,
Hili jambo wajaribu kuliangalia mara mbili mbili, kwa mange sio source ya hayo mambo bali source ya yoote iko humu humu nchini.

Rem,
Kikulacho kinguoni mwako.
 
Naona kuna uwezekano ukicomment humu Sirro anaweza akaomba ushirikiano wako ktk namna ya kumpata Mange, mm huyooo km mwewe wa clouds habari
 
Back
Top Bottom