Vikosi vya Usalama barabara vijikite kupambana na bodaboda hili la namba za 3D mbona watengenezaji na wauzaji hawajakamatwa?

Mzee wa Twitter

JF-Expert Member
Nov 5, 2023
1,272
2,035
Wadau nawasabahi.

Nichukue fursa hii kuchangia kidogo juu ya hili zoezi linaloendelea la jeshi la polisi kikosi cha usalama barabarani la kuyakamata magari yote yenye namba za 3D.

Najaribu kujiuliza kama kutumia namba za 3d ni kosa je aliyezitengeneza na kuziuza mbona hatusikii hatua alizochukuliwa?

Nije kwenye hoja yangu ya msingi, madhara yatokanayo na hizi namba za 3D binafsi nayaona ni madogo sana ukilinganisha na ajali zinazosababishwa na hawa bodaboda.

Hivyo nilitarajia jeshi la polisi kitengo cha usalama barabarani wangejikita kupambana na hawa bodaboda ambao wamekuwa ni wavunjifu wa makusudi wa sheria za usalama barabarani na kusababisha vifo na ulemavu wa kudumu kwa wananchi kuliko hili la kukamata na kubandua namba za 3D.

Tunaliomba jeshi la polisi lijikite zaidi kwenye hawa bodaboda kwani wamekuwa kero nchi nzima
 
Kuna bodaboda Mmoja kaingia barabarani bila kuangalia upande wake wa kulia landcruser imempitia hapo hapo kadanja,ukishakuwa dreva wa bodaboda walio wengi akili inabaki robo kichwani.
 
Wadau nawasabahi.

Nichukue fursa hii kuchangia kidogo juu ya hili zoezi linaloendelea la jeshi la polisi kikosi cha usalama barabarani la kuyakamata magari yote yenye namba za 3D.

Najaribu kujiuliza kama kutumia namba za 3d ni kosa je aliyezitengeneza na kuziuza mbona hatusikii hatua alizochukuliwa?

Nije kwenye hoja yangu ya msingi, madhara yatokanayo na hizi namba za 3D binafsi nayaona ni madogo sana ukilinganisha na ajali zinazosababishwa na hawa bodaboda.

Hivyo nilitarajia jeshi la polisi kitengo cha usalama barabarani wangejikita kupambana na hawa bodaboda ambao wamekuwa ni wavunjifu wa makusudi wa sheria za usalama barabarani na kusababisha vifo na ulemavu wa kudumu kwa wananchi kuliko hili la kukamata na kubandua namba za 3D.

Tunaliomba jeshi la polisi lijikite zaidi kwenye hawa bodaboda kwani wamekuwa kero nchi nzima
Zoezi hili ni kipimo cha IQ za makamanda wa Polisi hususan Usalama Barabarani....

Huu mchezo umechezwa vyema na TRA na POLISI. Mimi kama nimelipia namba yangu na serikali ikapokea kodi ya namba hiyo. Nitadai fidia kwa upumbavu huu unaofanywa na watu wasio na weledi na sheria..

Wanajua namba hizo zinatengenezwa wapi. Kwa nini muwaadhibi wananchi ambao wanafuata utaratibu wa sheria? Ina maana serikali inashiriki KUTAKATISHA fedha kupitia zoezi hili?
 
Wadau nawasabahi.

Nichukue fursa hii kuchangia kidogo juu ya hili zoezi linaloendelea la jeshi la polisi kikosi cha usalama barabarani la kuyakamata magari yote yenye namba za 3D.

Najaribu kujiuliza kama kutumia namba za 3d ni kosa je aliyezitengeneza na kuziuza mbona hatusikii hatua alizochukuliwa?

Nije kwenye hoja yangu ya msingi, madhara yatokanayo na hizi namba za 3D binafsi nayaona ni madogo sana ukilinganisha na ajali zinazosababishwa na hawa bodaboda.

Hivyo nilitarajia jeshi la polisi kitengo cha usalama barabarani wangejikita kupambana na hawa bodaboda ambao wamekuwa ni wavunjifu wa makusudi wa sheria za usalama barabarani na kusababisha vifo na ulemavu wa kudumu kwa wananchi kuliko hili la kukamata na kubandua namba za 3D.

Tunaliomba jeshi la polisi lijikite zaidi kwenye hawa bodaboda kwani wamekuwa kero nchi nzima
Koma
 
Back
Top Bottom