Elections 2010 Siri ya wabunge viti maalumu Chadema yavuja

Huyu jamaa Dr. Slaa HAFAI kuwa rais hata kidogo. Analeta UDINI mkubwa sana, angalia hayo majina ni ya watu wa KABILA lake tu na DINI yake.
 
Can anything good for CHADEMA be written by HABARI LEO!
Asante kwa taarifa angalau na wewe umeongeza idadi ya post
 
Baada ya Uhuru kufulia, Sisi M walianzisha gazeti lingine kwa jina la Habari leo nalo kidogo kidogo linasogea kaburini
 
Kama chanzo cha habari hii ni HabariLeo, tayari tunautambua msimamo wa gazeti hilo kuhusu CHADEMA. Haya si ya kushangaza.

Ukizungumzia suala la undugu na urafiki, ipo orodha ya MAWAZIRI ambao JK aliwapa vyeo hivyo kutokana na uswahiba wao, ambao ulianzia toka wakiwa kwenye vyuo. Hilo si siri, linatambulika. Wale ambao hawakupata nafasi ya kuwa mawaziri walipewa nafasi ya kuwa mabalozi.

Sasa una lengo la kutuambia kwamba CCM ni chama cha watu "watakatifu"?
 
Huyu jamaa Dr. Slaa HAFAI kuwa rais hata kidogo. Analeta UDINI mkubwa sana, angalia hayo majina ni ya watu wa KABILA lake tu na DINI yake.
mh kazi ipo wewe ndio una udini na ukabila ndio maana ulipoona hayo majina umeyasoma kwa tafsiri ya dini na kabila. watu wenye mtazamo kama wako ni hatari kwa taifa letu.
 
Back
Top Bottom