Sisi tunaotoka ludewa tunamkubali deo filikunjombe japokuwa ni jamii ya magamba kwani ktk kipindi cha mwaka mmoja kafanya kazi ya miaka mitano ludewa, filikunjombe ni jamaa fresh.
Magamba in action.Hafai!
Sisi tunaotoka ludewa tunamkubali deo filikunjombe japokuwa ni jamii ya magamba kwani ktk kipindi cha mwaka mmoja kafanya kazi ya miaka mitano ludewa, filikunjombe ni jamaa fresh.
Magamba in action.Hafai!
huyo kimsingi hata kwa bure hatakiwi Ludewa,mkoa mpya wa Njombe umepatikana.Mbunge wa magharibi yeye amejikatalia kuwa wananchi hawakumchagua bali NEC.
uso! meno! nywele! kasoro yeye ni fisadi na gaucho ni mzinzi!umenifanya nicheke kwa sauti ndani ya basi. Wanafanana nini na Ronaldinho, meno, macho au nywele?
Single, unless alinidanganya.hivi huyu bibi kaolewa naomba anaemjua vizuri anipe details zake...
Alitaka kuzama na mtumbwi akiwa katoka kuwatumikia wananchi wa jimbo lake! Teh teh tehKwani huyo Filikunjombe mnayemsifia amefanya nini cha pekee?
Alitaka kuzama na mtumbwi akiwa katoka kuwatumikia wananchi wa jimbo lake! Teh teh teh
Deo filikunjombe anakubalika kwa vitendo vyake. Kimsingi ukitaka kupigwa mawe au kuhatarisha amani yako mbele ya wananchi wa ludewa, msemee mbovu filikunjombe mbele yao. Amefanya mengi kuliko mbunge yeyote yule katika muda mfupi. Binafsi ningependa mwaka 2015 achukue nchi kama raisi. Tutaendelea kwa kasi ya ajabu. Tunahitaji raisi kijana. Filiku jombe gombea, tupo nyuma yako.
...Vipi mkuu unataka kutangaza ndoa nini mkatafune wote mafao ya uspika??!!hivi huyu bibi kaolewa naomba anaemjua vizuri anipe details zake...
"Tunamshangaa sana mbunge wetu Makinda kwa uamuzi wake wa kutangaza kutogombea .... kiukweli hata asingetangaza msimamo wetu wapiga kura wa jimbo la Njombe kusini japo hatukuweka wazi ila ilikuwa ni kumpiga chini katika kura za maoni sisi kwa sasa mbunge wetu ni kamanda wa umoja wa vijana wa chama cha mapinduzi (UVCCM) wilaya ya Njombe Deo Mwanyika ambaye amekuwa akiendelea kuhamasisha maendeleo jimboni "
Kuna nini kwenye siasa? mbona deo mwanyika yupo safi sana kifedha? Anataka kulinda fedha zake alizopata huko barick? Hivi deo amekuwa kichaa? Maana si kawaida mtu kuacha kazi yenye mshahara mnono wa barrick na kwenda kwenye kazi ya mshahara duni kama wa kibunge. Naanza kukosa imani kabisa na siasa za Tz.
Hivi kwenye siasa kuna nini ambacho sisi hatukijui? Please, let me know.