Emc2
JF-Expert Member
- Sep 26, 2011
- 16,808
- 16,836
Mimi naongelea concept ya mwenge sio kama jamaa anavyo wandanganya watu mchana kweupe kuwa ni ibaada ya mashetani. Inamaana Watanzania ni mashetani?Kama moja yakazi za MWENGE nipamoja na kuwamulika WANYONYAJI,basi kuna umuhimu wa kuongeza utambi mwingine ili mwanga uongezeke! lakin kwa huu uliopo umeshindwa kabisa kuwamulika wanyonyaji.Tanganyika imejaa viongozi wanyonyaji inakuwaje MWENGE hauwamuliki badala yake unawamulika watu wasio kuwa na hatia kama Mwangosi?