sky soldier
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 5,408
- 19,034
Elimu ni bahari haina mwisho, Leo nawapa darasa la kibailojia linalotoa elimu kuhusu njia ya kufahamu ukubwa wa maumbile ya mwanaume
Pindi nikiwa nasoma boarding kuna rafiki alikuwa anapenda sana kujua mambo ya miili ya watu, aliwahi kutuelimisha urefu wa mtu unaaweza kupimwa akinyoosha mikono yote, watu wengi wana makovu kidole cha shahada mkono wa kushoto, kupima urefu wa mguu kwa mkono unaponunua kiatu, n.k. ni mambo yaliyokuwa yakitushangaza.
Kuna siku akatupa maarifa mapya kwamba kidole cha shahada kikiwa kifupi kuzidi cha pete uume huwa ni mdogo, kidole cha shahada kikiwa kirefu kuzidi cha pete uume huwa ni mkubwa, vikilingana uume ni wa kati ama mkubwa, ilileta gumzo na tulidhani ni masikhara.
Hio ishu ilisambaa sana pale shuleni, tukaanza kukaguana vidole tu maana size tulikuwa tunajuana tukiwa tunaoga bafuni asubuhi, tulishangazwa sana kwamba vidole vya mtu vinaweza kuwa kipimo cha maumbile, ila uzuri enzi hizo mambo ya ukubwa wa maumbile hayakuwa ishu kama siku hizi.
1. Kidole cha shahada kirefu kuzidi cha pete
2. Kidole cha shahada kifupi kuzidi cha pete