Siri kubwa ya mafanikio ya CCM NI kubeba agenda muhimu za kitaifa na kubadilika kulingana na wakati

Ukondoo wa NYERERE?
Awamu ya kwanza mheshimiwa alihakikisha sisi sote tuna amini serikali na chama, pili hakuna upinzani (wenye mawazo tofauti walishughulikiwa na chama/tiss), maandamano yalikuwepo lakini si ya kupinga serikali/chama. Kuunga mkono ilikuwa poa. Matokeo yake tukawa watiifu kama kondoo. Tabia hii inarithishwa toka kwa wazazi kwenda kwa watoto. Sasa tukitishwa ndio tunaingia mitini.
Kuna nchi kama zambia na Kenya wananchi wata andamana kupeleka ujumbe na serikali ikileta za kuleta wanakinukisha. Ugonjwa huu ukichanganya na hayo mengine ndio mtaji mkuu wa ccm.
 
Back
Top Bottom