Sipendi tabia ya shemeji yangu

Huwa mara kadhaa tunatoka outing na Mr wangu na rafiki yake (shemeji), illa huyu shemeji anatabia ambayo hainipendezi na nimeshamwambia siipendi ila hakomi hata. Huwa tukikaa kwenye meza yeye ananikanyaga miguu kila wakati na jamaa akitoka kidogo analeta vidole vyake mpaka kwenye nanihiiiii. Naogopa kumsemea sasa nifanyeje?
simply hapa unaonekana wazi kuwa unamtamani huyo shemeji yako.
Haiwezekani aendeleze huo mchezo kama ungemwonesha kukwazika kikweli (naamin hata usipomsemea angeacha)

ongeza kasi zaa nae kabisa incase
 
Are u serious hupendi hii kitu, sasa kama hupendi hivyo vidole vya shemeji yako vinafikaje kwenye hiyo nanihii, kukaa kimya maana yake unamu - entertain, na kinachofuatia kinaweza kuwa kikubwa zaidi ya hivyo vidole
 
Jamani msinielewe vibaya, mi wala siyo type yangu kwanza
 
Huwa mara kadhaa tunatoka outing na Mr wangu na rafiki yake (shemeji), illa huyu shemeji anatabia ambayo hainipendezi na nimeshamwambia siipendi ila hakomi hata. Huwa tukikaa kwenye meza yeye ananikanyaga miguu kila wakati na jamaa akitoka kidogo analeta vidole vyake mpaka kwenye nanihiiiii. Naogopa kumsemea sasa nifanyeje?

Huna msimamo kabisa na inaelekea unapenda akushike shike, mwanamke yeyote mwenye msimamo wake kwanza hawezi kukuacha ata dakika moja!!! Lazima atakuwa mbogo na mtendaji atakuwa mdogo kama piriton na msamaha juu. We vipi?? basi basi naogopa kuchomwa bure na mod.
 
Huwa mara kadhaa tunatoka outing na Mr wangu na rafiki yake (shemeji), illa huyu shemeji anatabia ambayo hainipendezi na nimeshamwambia siipendi ila hakomi hata. Huwa tukikaa kwenye meza yeye ananikanyaga miguu kila wakati na jamaa akitoka kidogo analeta vidole vyake mpaka kwenye nanihiiiii. Naogopa kumsemea sasa nifanyeje?

shika korodani zake, ziminye kwa nguvu hadi aseme yalaaaaaaaah, watu wakikuuliza kulikoni? Wajibu kuwa jamaa alikuwa amepagawa na raha za mbinguni.
 
Na inakuwaje mpaka apate "courage" ya kukushika mpaka huko kwenye nanihii?

Huyo "shemeji" yako anakamchezo wanachofanya na huyo mwenzio. Haiwezekani awe hana uoga wala kumuheshimu rafiki yake kiasi hicho. Na inahusu nini matembezi yako na mpenzi wako afatane na rafiki yake?

Kama unabisha chunguza, utakuta hao si marafiki wa kawaida, wanabanduana, ndio maana huyo "shemeji" hajali. Hata ukimwambia huyo "mpenzi" wako hatoweza kufanya lolote, wanajuana siri zao.
 
oo my Lord !! lady you are s cheap like that? its so dangereous, i wish not to meet such a kind of a gal
 
Jamani msinielewe vibaya, mi wala siyo type yangu kwanza

sio type yako na vidole jee? sasa hebu fikiria mkijikuta mko ktk mazingira nyinyi wawili tu unafikiri atakuacha, kwa sababu anajua huwa anapenyeza vidole na hufanyi kitu
 
Na inakuwaje mpaka apate "courage" ya kukushika mpaka huko kwenye nanihii?

Huyo "shemeji" yako anakamchezo wanachofanya na huyo mwenzio. Haiwezekani awe hana uoiga wala kumuheshimu rafiki yake kiasi hicho. Na inahusu nini matembezi yako na mpenzi wako afatane na rafiki yake?

Kama unabisha chunguza, utakuta hao si marafiki wa kawaida, wanabanduana, ndio maana huyo "shemeji" hajali. Hata ukimwambia huyo "mpenzi" wako hatoweza kufanya lolote, wanajuana siri zao.

faiza naomba ni kupm nina maongezi na wewe
 
Hahahaaa...............du umenichekesha kweli, labda wanabanduana
 
Naona unaleta zile za 'jamani sitakiiiii, lakini zipu ipo kwa nyumaaaaaa'.. teh teh, yaan mpaka jamaa anapima oil we unasema hupendi tabia yake?
 
Asante pili kwa mawazo yako,
Haya sio mawazo ya Pearl,mimi naona uyachukulie kama ni maagizo rasmi ya wadau wa MMU, nenda kayatekeleze leo.Unavyozidi kumlegezea ndo na yeye anaona ume m mind,unakuwa ka hujui wanaume bana! kha! tena kesho urudishe ripoti hapa.
 
Huwa mara kadhaa tunatoka outing na Mr wangu na rafiki yake (shemeji), illa huyu shemeji anatabia ambayo hainipendezi na nimeshamwambia siipendi ila hakomi hata. Huwa tukikaa kwenye meza yeye ananikanyaga miguu kila wakati na jamaa akitoka kidogo analeta vidole vyake mpaka kwenye nanihiiiii. Naogopa kumsemea sasa nifanyeje?

yani we unapenda, co kdg nahc sana.... Atafikishaje vdl hdi huko afu utuelezee uchafu wenu, we mpe 2 bwn. Mi naona we unataka cc 2kuhalalishie.
 
Back
Top Bottom