Sipendi tabia ya shemeji yangu

NOT ENOUGH

JF-Expert Member
Dec 8, 2010
596
307
Huwa mara kadhaa tunatoka outing na Mr wangu na rafiki yake (shemeji), illa huyu shemeji anatabia ambayo hainipendezi na nimeshamwambia siipendi ila hakomi hata. Huwa tukikaa kwenye meza yeye ananikanyaga miguu kila wakati na jamaa akitoka kidogo analeta vidole vyake mpaka kwenye nanihiiiii. Naogopa kumsemea sasa nifanyeje?
 
Kama kweli ungekuwa hutaki sioni ni jinsi gani huyo shemeji angeweza kuleta vidole vyake mpaka hapo uliposema. Acha huo mchezo.........waweza kusababisha balaa na majuto mkija kugundulika.
 
Unaogopa nn sasa kumsemea?Dont be cheap dear,.mpe onyo kali la mwisho na umwambie utamwambia Mr wako upuuzi wake kama ata acha,ukizidi kukaa kimnya unafuga ujinga na pia ataona unapenda hako kamchezo.Lkn pia kutosema huwezi jua labda ni kamtego Mr wako kaweka ili aone kama ww ni mwaminifu au la(kuna wanaume/wanawake wajinga hufanya hivi)si unajua haba na hapa hujaza kibaba?
Huwa mara kadhaa tunatoka outing na Mr wangu na rafiki yake (shemeji), illa huyu shemeji anatabia ambayo hainipendezi na nimeshamwambia siipendi ila hakomi hata. Huwa tukikaa kwenye meza yeye ananikanyaga miguu kila wakati na jamaa akitoka kidogo analeta vidole vyake mpaka kwenye nanihiiiii. Naogopa kumsemea sasa nifanyeje?
 
Unaogopa nn sasa kumsemea?Dont be cheap dear,.mpe onyo kali la mwisho na umwambie utamwambia Mr wako upuuzi wake kama ata acha,ukizidi kukaa kimnya unafuga ujinga na pia ataona unapenda hako kamchezo.Lkn pia kutosema huwezi jua labda ni kamtego Mr wako kaweka ili aone kama ww ni mwaminifu au la(kuna wanaume/wanawake wajinga hufanya hivi)si unajua haba na hapa hujaza kibaba?

Hapo nilipobold hapo ndio penyewe.................. yaani some pipo sometimes.....nomaa
 
not enough unavituko sana, huyo mr si ndio yule aliyekuacha kwenye mataa siku ya valentine? kwahiyo ndio umeamua kumegana na rafiki yake? haya bana, utarudi hapa hapa kusema ndoa imeisha
 
napita tu kumbe ni wewe MAMLUKIKI WA MAGAMBA NE.NA HAUWEZ TOSHA KWEL KAMA NICK NAME YAKO
 
Mhm.....nawe unapenda anavyofanya ivyo ''eti enhe''?.....kama ungekuwa unakelwa na tabia hiyo ya shemeji yako ungeshamwambia Mr.wako.Navyo jua mimi mwanamke kama hakupendi/hafurahii wala hawezi kuvumilia......huo upuuzi.
NB:Ukifurahia upele...unakaribisha ukurutu
 
Kama unadai hupendezwi na tabia hiyo, huku ukudai pia kuwa hutaki kumsemea.... mbona mi nashindwa kukuelewa? Nikikushauri umkubalie; umeshasema hupendezwi na tabia yake.... Nikifikiria kukushauri kumkatalia; tayari kama hupendezwi nayo nini tena....! Na kama huwezi kumdhibiti mwenyewe, wala huwezi kumsemea, what is really "Not Enough" to you?
 
MIMI NDIYO NILIKUA NAMSHIKA HIYO CKU NA WALA HAJAWAI KUSEMA NIMWACHE KUMSHIKA! kATAA NITOA PICHA
 
not enough unavituko sana, huyo mr si ndio yule aliyekuacha kwenye mataa siku ya valentine? kwahiyo ndio umeamua kumegana na rafiki yake? haya bana, utarudi hapa hapa kusema ndoa imeisha

Jamani Mzuanda tulisha sort na nikamsamehe, ila huyu shemeji anataka kuleta balaa naona
 
Unapoendelea kunyamaza inamaana unakubali anayokufanyia
ipo siku atajisahahu akushike mumeo akiwepo ndio akili itachanganya
mweleze Mr wako hupendi tabia ya rafiki yake
 
it's simple mwambie huyo shemeji yako hutaki hiyo tabia "like you really mean it" sio sipendi alafu unamchekea, ukicheka na na nyani utavuna mabua mama ohh
 
Weka wazi kwa Mr wako kuwa huyo jamaa anakunyemelea then wenyewe watasort out as gentelmen.
 
.... Naogopa kumsemea sasa nifanyeje?

'Kumsemea'! Huu ni udhaifu mkubwa na kwa kweli inakera sana....yaani wewe mwenyewe huwezi kusema NO mpaka mumeo akusaidie? Kama upo serious, ni wewe mwenyewe unatakiwa kuwa firm na kumwambia NO huyo 'hayawani' katika lugha ambayo hatathubutu tena kukuchezea chezea hovyo! Siku nyingine akikuleta mikono yake kwenye 'nanihii' yako mpige kibao cha haja (vizuri kama ni mbele za watu!). Na assume wewe hufurahii vitendo hivyo asilani!

Chukua hatua na kisha mumeo umpe taarifa tu juu ya hatua ulizomchukulia huyo rafiki yake kwa kukukosea adabu....na sio eti kumsemea!
 
it's simple mwambie huyo shemeji yako hutaki hiyo tabia "like you really mean it" sio sipendi alafu unamchekea, ukicheka na na nyani utavuna mabua mama ohh

Jamani nshamwambia si mara moja na bado hasikii
 
Back
Top Bottom