Pdidy
JF-Expert Member
- Nov 22, 2007
- 51,783
- 23,239
Yule kijana alieongoza matokeo ya elimu ya kidato cha nne
amesema kupitia mtanzania gazeti kwamba mpaka sasa aoni umuhimu wa yeye kama mwanafunzi ama
wanafunzi wenzake kujiunga na neno facebook..unajua nduguyangu nyumban kuna computer
tatu lakini mzee huwa anauliza huna email ama ...namwambia ninazo naangalia mara moja moja
akamuuliza uangalii hata bbc vipi.wenzako wanashinda na face book akamwambia muda ukifika
ntajiunga nayo mzee
alipoulizwa uhusiano wa face book na elimu na madhara yake swai alisema sio nabhatisha kwa kusema
sitaki kjiunga na hiyo nanii yao nina marafiki wanashinda masaa mawili matatu na face book ...mpaka
leo najiuliza muda wa kusoma wanapata wapi??siwezi angalia facebook hata lisaa limoja na nusu
unajua kwenye elimu ni lazima uwe na msimamo ni lazima ujiwekee mategemeo yako binafsi
na ujipe muda na starehee nyingine..sasa kuna marafiki zangu wengi tu wengine walikuwa wazuri wananipumulia nyuma nikiwa wa kwanza wao wa pili nikiwa wa pili wa wa kwanza walipoanza hii biashara kwa kweli sisemi msijiunge wengi walianza kutumbukia namba 6-10 na hapo sikuwa tena na mpinzani
sisemi msijiunge ila msikubali kukaa mitandaoni kupoteza muda jamani elimu ina mambo mengi sana
unatumia facebook kama mwanafunzi kwa mambo gani au wanamuda gani na kukaa uko??kama kwa mambo
yenye faida basi si vibaya lakini nashauri wasikae uko wakimaliza shule muda ukifika tutakesha huko tunavyotaka alisema moses swai
usahuri kwa wanafunzi
nashauri wanafunzi wenzangu wapange muwa wa kujisomea waweke malengo na walioko majumbani wajitahidi kuchagua mazingira mazuri ya kujisome ,wajitahidi kuepuka mazingira ya mwingiliano yanayotokea nyumbani kama kelele na mengineyo
ushauri kwa wazazi
binafsi nashukuru uhusiano mzuri kwa wazazi wangu..unajua wazazi wengi wanafwatilia watoto wao kielimu lakini awajui uhusiano wao na watoto ni muhimu kuliko matokeo ya mttooto ukimweka mtoto kwenye mazingira mazuri hata shulen atafaulu lakini ukiwa na mazingiraya kuogopana kati ya mzazi na watoto matokeo ayawezi kuwa mazuri hata ufwatilie mpaka asbh..tuwape nafasi watoto ..tuwafwatilie wasijiingize kwenye mambo mabaya anasema kijana wetu musa swai
mwisho nawatakia wotee wenye uchu wa kufaualu kama musa swai mungu awape mazingira mazuri ya kufaulu na kuwabariki huko mwendako wakati huo huo shule ya fedha imejitolea kumsomesha bure popote atakaposoma....kumaliza kidato cha sita