alichokiongea huyu dogo sio sheria! He can b challenged or supported basing on the ipso facto! Thats y this is he home of the people who dare to talk openely!!Huyo dogo ni mshamba tu, hata JF usipoitumia kwa malengo chanya bado ni sifuri tu kwako haitakusaidia kitu, Facebook imenzishwa na Mwanafunzi wa Havard ili kuwafanya wawe connected, sasa mtu mwenye mawazo finyu leo aje kuiponda facebook bila kujuwa imetukutanisha hata na watu ambao hatukutegemea kuja kuonana tena huyo ni zezeta tu.
Commucation is power. kwa kutambuwa umuhimu wa facebook leo hii karibu tovuti zote lazima iwe na option ya SHARE FACEBOOK.
enzi hizo division one nyingi hasa.dar ilikuwa ni shauri ya uvujaji wa paper.Dogo mshamba tu huyo - Zamani Azania Boys watu tunafaulu div 1 tunapata; club tunaenda, totoz za Janagwani, Zanaki, Kisutu, Forodhani tunazifukuzia,internet cafe tunaenda stori tunapiga na class hatuingii. Cha muhimu ni DESIRE YA KUFAULU VIZURI NA PLAN NZURI YENYE KUZINGATIA RATIBA. Ina mana yeye mda wote ni kusoma tu? MSHAMBA TU HUYO.
Inawezekana ukawa unasema ukweli kidogo ingawa tutakiwa tuangalie kiwango cha elimu kilivyo sasa.Mkuu mi nimepiga Azania Boys 6 years na wale wote wanaopata maziro form six pale ni wageni waliotoka shule zenye mazingira tofauti na A.S.S; Pili asikudanganye mtu ukiacha 1998 pepa za mara ya kwanza zilivuja zikarudiwa early 1999, miaka yote nilokaa pale ckuwahi kupata/kuona pepa ya kweli. Kuhusu walimu A.S.S hakukuwa na walimu wa kutosha mfano toka naanza form 5 hadi namaliza 6 hatukuwa na mwalimu wa chemistry darasani; zaidi tulikuwa tunasoma tuition kwa maku maku, practical za physics tunafanyia pugu sec kwa malipo ya 1000/ day. Nasema dogo mshamba kwa kuwa anawatisha wenzake, kusoma sio jela unaweza ukaangalia movies, tv,facebook ukajirusha na at the end uka pass na grade nzuri tu. (AZANIA STYLE)
Dah! hapa ndio umezidi kunishangaza na kunichanganya, .............Loading...
Dogo mshamba tu huyo - Zamani Azania Boys watu tunafaulu div 1 tunapata; club tunaenda, totoz za Janagwani, Zanaki, Kisutu, Forodhani tunazifukuzia,internet cafe tunaenda stori tunapiga na class hatuingii. Cha muhimu ni DESIRE YA KUFAULU VIZURI NA PLAN NZURI YENYE KUZINGATIA RATIBA. Ina mana yeye mda wote ni kusoma tu? MSHAMBA TU HUYO.
Dogo mshamba tu huyo - Zamani Azania Boys watu tunafaulu div 1 tunapata; club tunaenda, totoz za Janagwani, Zanaki, Kisutu, Forodhani tunazifukuzia,internet cafe tunaenda stori tunapiga na class hatuingii. Cha muhimu ni DESIRE YA KUFAULU VIZURI NA PLAN NZURI YENYE KUZINGATIA RATIBA. Ina mana yeye mda wote ni kusoma tu? MSHAMBA TU HUYO.
hiyo inaonesha dogo alikuwa anatumia muda mwng kukariri kulko kuelewa!...namshauri ajifunze tm management na hapo atajichanganya na kujua jamii zaidi!..
Dogo kichwa kimeishajaa, kupata 1 Basi kila kitu anachosema tukubali hapana dogo, Facebook ina faida yake na hasara zake! Kuna wasomi ni PhD zao wanashinda Facebook kutoa elimu.