Sioni umuhimu wa facebook kwa mwanafunzi, siwezi jiunga nayo nitajiunga muda ukifika - Moses Swai

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
51,132
22,384
Yule kijana alieongoza matokeo ya elimu ya kidato cha nne
amesema kupitia mtanzania gazeti kwamba mpaka sasa aoni umuhimu wa yeye kama mwanafunzi ama
wanafunzi wenzake kujiunga na neno facebook..unajua nduguyangu nyumban kuna computer
tatu lakini mzee huwa anauliza huna email ama ...namwambia ninazo naangalia mara moja moja
akamuuliza uangalii hata bbc vipi.wenzako wanashinda na face book akamwambia muda ukifika
ntajiunga nayo mzee

alipoulizwa uhusiano wa face book na elimu na madhara yake swai alisema sio nabhatisha kwa kusema
sitaki kjiunga na hiyo nanii yao nina marafiki wanashinda masaa mawili matatu na face book ...mpaka
leo najiuliza muda wa kusoma wanapata wapi??siwezi angalia facebook hata lisaa limoja na nusu
unajua kwenye elimu ni lazima uwe na msimamo ni lazima ujiwekee mategemeo yako binafsi
na ujipe muda na starehee nyingine..sasa kuna marafiki zangu wengi tu wengine walikuwa wazuri wananipumulia nyuma nikiwa wa kwanza wao wa pili nikiwa wa pili wa wa kwanza walipoanza hii biashara kwa kweli sisemi msijiunge wengi walianza kutumbukia namba 6-10 na hapo sikuwa tena na mpinzani

sisemi msijiunge ila msikubali kukaa mitandaoni kupoteza muda jamani elimu ina mambo mengi sana
unatumia facebook kama mwanafunzi kwa mambo gani au wanamuda gani na kukaa uko??kama kwa mambo
yenye faida basi si vibaya lakini nashauri wasikae uko wakimaliza shule muda ukifika tutakesha huko tunavyotaka alisema moses swai

usahuri kwa wanafunzi
nashauri wanafunzi wenzangu wapange muwa wa kujisomea waweke malengo na walioko majumbani wajitahidi kuchagua mazingira mazuri ya kujisome ,wajitahidi kuepuka mazingira ya mwingiliano yanayotokea nyumbani kama kelele na mengineyo

ushauri kwa wazazi
binafsi nashukuru uhusiano mzuri kwa wazazi wangu..unajua wazazi wengi wanafwatilia watoto wao kielimu lakini awajui uhusiano wao na watoto ni muhimu kuliko matokeo ya mttooto ukimweka mtoto kwenye mazingira mazuri hata shulen atafaulu lakini ukiwa na mazingiraya kuogopana kati ya mzazi na watoto matokeo ayawezi kuwa mazuri hata ufwatilie mpaka asbh..tuwape nafasi watoto ..tuwafwatilie wasijiingize kwenye mambo mabaya anasema kijana wetu musa swai

mwisho nawatakia wotee wenye uchu wa kufaualu kama musa swai mungu awape mazingira mazuri ya kufaulu na kuwabariki huko mwendako wakati huo huo shule ya fedha imejitolea kumsomesha bure popote atakaposoma....kumaliza kidato cha sita
 
hongera yake yule mwanaasha yeye alikuwa face book kila mara na hata muda mwingine kukaa na wageni wa mzee na muda mwingine kwenda kwenye sherehe na mama yake, mwisho wa siku amevuna 4 ya 27, hongera kijana wa swai kaza mwendo
 
Ni mpumbavu tu huyo kijana, facebook ina matatizo gani? kama utaimis use facebook huo ni upumbavu wako, lakini mtu mwenye akili timamu leo hii hawezi ku underestimste the power of Internet.
 
Bora hata wewe,mwenzako mwanaasha jakaya Kikwete hapo Feza girl kalamba four ya 27,1V 27 alikuwa muda mwingi anachart na watoto wa Mwai Kibaki kwenye facebook kusoma akasahau.
 
Dogo mshamba tu huyo - Zamani Azania Boys watu tunafaulu div 1 tunapata; club tunaenda, totoz za Janagwani, Zanaki, Kisutu, Forodhani tunazifukuzia,internet cafe tunaenda stori tunapiga na class hatuingii. Cha muhimu ni DESIRE YA KUFAULU VIZURI NA PLAN NZURI YENYE KUZINGATIA RATIBA. Ina mana yeye mda wote ni kusoma tu? MSHAMBA TU HUYO.
 
dogo mshamba tu huyo - zamani azania boys watu tunafaulu div 1 tunapata; club tunaenda, totoz za janagwani, zanaki, kisutu, forodhani tunazifukuzia,internet cafe tunaenda stori tunapiga na class hatuingii. Cha muhimu ni desire ya kufaulu vizuri na plan nzuri yenye kuzingatia ratiba. Ina mana yeye mda wote ni kusoma tu? Mshamba tu huyo.

kumbuka na zile pepa zilvyokuwa zinatambaaa ovyo na kuwapelekea hao mabinti mnaowapeleka club matokeo yake form 5 na six awawaoni tena wanarudi kuzungusha kama uamini nenda kaangalie perfomance za watoto wa mazinde juu walioenda jangwani sec school na matokeo yao ...kisa walimiss ujana wakaona azania ,tambaza ndiko kwenye wanaume wakaishia ku rotate mpwa unakumbuka haya
 
hawanaga lolote hawa 'TO' nafasi za maana zote huwa wanazishika watu wa kawaida
 
dogo mshamba tu huyo - zamani azania boys watu tunafaulu div 1 tunapata; club tunaenda, totoz za janagwani, zanaki, kisutu, forodhani tunazifukuzia,internet cafe tunaenda stori tunapiga na class hatuingii. Cha muhimu ni desire ya kufaulu vizuri na plan nzuri yenye kuzingatia ratiba. Ina mana yeye mda wote ni kusoma tu? Mshamba tu huyo.

mshamba sababu kaeleza ukwelii ama mshamba kwa saababu mchaga kaongoza matokeo embu fafanua hili
class kutoingia usidangaanye wenzio kipindi hicho hata walimu walikuwa awaji mi nimesoma shule ya pugu sec lakini darasani nilikuwa naingia azania sikuja kucheki mademu bali tuition ndio ilionipeleka udsm mpwa ..so usidanganye watoto wa kileo hata mara moja ,,pugu nilkuwa naingia j3..jioni naelekea bweni kwakina mady boy,,nk mpaka ijumaa narudi nanusa narudi tena kwa ajili ya jumamosi tuition...we kama walimu awaji weunasoma wapi na kufaulu kama sio """"""jini elimu dunia"""""""""""""""?????
 
Dogo mshamba tu huyo - Zamani Azania Boys watu tunafaulu div 1 tunapata; club tunaenda, totoz za Janagwani, Zanaki, Kisutu, Forodhani tunazifukuzia,internet cafe tunaenda stori tunapiga na class hatuingii. Cha muhimu ni DESIRE YA KUFAULU VIZURI NA PLAN NZURI YENYE KUZINGATIA RATIBA. Ina mana yeye mda wote ni kusoma tu? MSHAMBA TU HUYO.
angekuwa nr 1 tz ni said abdallah ungesema hivyo au ungekuwa wa kwanza kumpongeza kwa busara zake?
 
mshamba sababu kaeleza ukwelii ama mshamba kwa saababu mchaga kaongoza matokeo embu fafanua hili
class kutoingia usidangaanye wenzio kipindi hicho hata walimu walikuwa awaji mi nimesoma shule ya pugu sec lakini darasani nilikuwa naingia azania sikuja kucheki mademu bali tuition ndio ilionipeleka udsm mpwa ..so usidanganye watoto wa kileo hata mara moja ,,pugu nilkuwa naingia j3..jioni naelekea bweni kwakina mady boy,,nk mpaka ijumaa narudi nanusa narudi tena kwa ajili ya jumamosi tuition...we kama walimu awaji weunasoma wapi na kufaulu kama sio """"""jini elimu dunia"""""""""""""""?????

Mkuu mi nimepiga Azania Boys 6 years na wale wote wanaopata maziro form six pale ni wageni waliotoka shule zenye mazingira tofauti na A.S.S; Pili asikudanganye mtu ukiacha 1998 pepa za mara ya kwanza zilivuja zikarudiwa early 1999, miaka yote nilokaa pale ckuwahi kupata/kuona pepa ya kweli. Kuhusu walimu A.S.S hakukuwa na walimu wa kutosha mfano toka naanza form 5 hadi namaliza 6 hatukuwa na mwalimu wa chemistry darasani; zaidi tulikuwa tunasoma tuition kwa maku maku, practical za physics tunafanyia pugu sec kwa malipo ya 1000/ day. Nasema dogo mshamba kwa kuwa anawatisha wenzake, kusoma sio jela unaweza ukaangalia movies, tv,facebook ukajirusha na at the end uka pass na grade nzuri tu. (AZANIA STYLE)
 
Ivi hawa watoto baada ya kufaulu na kutambuliwa bungeni,,mbona huwa wanapotea jumla?
 
mshamba sababu kaeleza ukwelii ama mshamba kwa saababu mchaga kaongoza matokeo embu fafanua hili
class kutoingia usidangaanye wenzio kipindi hicho hata walimu walikuwa awaji mi nimesoma shule ya pugu sec lakini darasani nilikuwa naingia azania sikuja kucheki mademu bali tuition ndio ilionipeleka udsm mpwa ..so usidanganye watoto wa kileo hata mara moja ,,pugu nilkuwa naingia j3..jioni naelekea bweni kwakina mady boy,,nk mpaka ijumaa narudi nanusa narudi tena kwa ajili ya jumamosi tuition...we kama walimu awaji weunasoma wapi na kufaulu kama sio """"""jini elimu dunia"""""""""""""""?????

Ina maana wewe Pdidy umefika mpaka University? au ulikwenda pale kwa computer short course? maana umenistua sana!!
 
Back
Top Bottom