Sioi alitaka kujitoa kikao kikakataa

EasyFit

JF-Expert Member
Jul 4, 2011
1,269
1,082
Akiwahutubia wananchi wa Tengeru kwa Pole Mbunge wa Arusha Mjini, Godbless Lema, alisema

“Juzi nimesikia kuwa mgombea wao (Sioi) katika kikao cha ndani aliomba kujitoa katika kampeni hizi wakamkatalia, maji yameshawafika shingoni sasa aende akagombee ubunge huko Uingereza ndiko wanatoboa masikio".

Tanzania Daima.
 
Koleza lema,nakuaminia chalii angu,ur wel on political strategy as i remember da way your campaign chase away ccm at arusha urban province,god b with you and nasary 2
 
Hakika hii sasa ni kali maji ya shingo kwake huyu mgombea wa kiti cha urithi kwa ajili ya KUFUTWA MACHOZI huko CCM, bwana Haoi Sumari.

Akiwahutubia wananchi wa Tengeru kwa Pole Mbunge wa Arusha Mjini, Godbless Lema, alisema

"Juzi nimesikia kuwa mgombea wao (Sioi) katika kikao cha ndani aliomba kujitoa katika kampeni hizi wakamkatalia, maji yameshawafika shingoni sasa aende akagombee ubunge huko Uingereza ndiko wanatoboa masikio".

Tanzania Daima.
 
Chaguzi ndogo kwa sasa ni kichaka cha siasa za majitaka...

Nasubiri kwa hamu sana kuskia Wasira ameonyeshwa ndizi jukwaani

Kama Wassira ataendelea kubariki UBAGUZI wa Sendeka nashauri wanaCDM waende na NDIZI MIFUKONI kwenye kampeini za CCM Wassira akianza tu kuropoka UTUMBO kila mtu anatoa NDIZI MFUKONI na kumuonesha Wassira, ndio ajue DHAMBI YA UBAGUZI NI NINI?!
 
Eti mmbunge wa mtera lusinde bila kumwogopa mungu alisimama jukwaani akasema wanarumeru mashariki wanapaswa kumchagua sioi ili 1.wamfute machozi 2.akapate mshahara wa kulisha familia aliyoachiwa na baba yake 3.kumfurahisha mh raisi kikwete na 4.watabarikiwa na mungu hhahahahahah hii ni kali ya mwaka hizi ni kati ya hoja kuu kwanini sioi anataka ubunge wa arumeru mashariki
 
KIJANA SIOI VITA NDANI YA CCM VITAKUPASUA MGONGO HUKO ARUMERU MASHARIKI HUKU UKIENDELEA KUSUBIRI HURUMA ZA 'UPENDO WA AGAPE' KUHAKIKISHIA MLO FAMILIA YA MZEE SUMARI

Ni mtu gani huyo anayedhani kwamba vita ndani ya CCM vimetulia hadi hivi sasa?

Wala si ajali kitu kuona CCM Orijino wanavyomfanyia kusudi Kijana Sioi siasa za kiharibifu tu tangu Mzee Mkapa, vurugu za Mwigulu na Mzee wa Usingizi; yote haya ni kule katika kumuonyesha Lowassa kwamba hana umaarufu wowote ndani ya nchi hii kuliko chama chao CCM na kwamba pale alipoonekana kukibishie NEC CCM juu ya uamuzi wa kumweka Sioi pembeni na yeye akagoma sasa ni muda wa kula mabua kule Arumeru Mashariki na aibu zake.

Hata dakika hii washirika wa karibu wa huyu kijana wa SIKIO HERENI wanatuambia kwamba kijana HAOI SUMARI anajilaumu kupita kiasi uamuzi wake wa kujiunga na siasa kwa kuwa anaona kama vile vita vya vikundi mbali mbali ndani ya CCM sasa vimaliziwa mgongoni mwake bila huruma wala ushirikiano wowote ule.

Endelea kujipa moyo ki-hivo hivo pengine kweli Wana-Arumeru Mashariki badala ya kumchagua mbunge wa kuwakilisha kero zao bungeni Dodoma huenda wao wakaamua tu kumpa kazi mwanafamilia wa Mzee Jeremiah ili mlo wa familia hiyo moja usitetereke; potelea mbali matatizo yao wao wenyewe watajijua kivingine tu.

Na huo ndio kile kitu tunachokiita UPENDO WA AGAPE ya Wana-Arumeru Mashariki kuchagua kujinyima wao ili familia ya Mzee Sumari ijihakikishie mkate wao wa kila siku.
 
Chaguzi ndogo kwa sasa ni kichaka cha siasa za majitaka...

Nasubiri kwa hamu sana kuskia Wasira ameonyeshwa ndizi jukwaani

hahahaaaa mkuu umenichekesha sana kumbe nawe umeliona hilo ehe,angekuwa congo asingekatiza mitaani hahahahaha, kweli bwana jamaa kama wao kabisa ,nahisi akifika huko kwa campaign huwa anajipiga sana kifua akinadi chama chake hahahaha. lol
 
KIJANA SIOI VITA NDANI YA CCM VITAKUPASUA MGONGO HUKO ARUMERU MASHARIKI HUKU UKIENDELEA KUSUBIRI HURUMA ZA 'UPENDO WA AGAPE' KUHAKIKISHIA MLO FAMILIA YA MZEE SUMARI

Ni mtu gani huyo anayedhani kwamba vita ndani ya CCM vimetulia hadi hivi sasa?

Wala si ajali kitu kuona CCM Orijino wanavyomfanyia kusudi Kijana Sioi siasa za kiharibifu tu tangu Mzee Mkapa, vurugu za Mwigulu na Mzee wa Usingizi; yote haya ni kule katika kumuonyesha Lowassa kwamba hana umaarufu wowote ndani ya nchi hii kuliko chama chao CCM na kwamba pale alipoonekana kukibishie NEC CCM juu ya uamuzi wa kumweka Sioi pembeni na yeye akagoma sasa ni muda wa kula mabua kule Arumeru Mashariki na aibu zake.

Hata dakika hii washirika wa karibu wa huyu kijana wa SIKIO HERENI wanatuambia kwamba kijana HAOI SUMARI anajilaumu kupita kiasi uamuzi wake wa kujiunga na siasa kwa kuwa anaona kama vile vita vya vikundi mbali mbali ndani ya CCM sasa vimaliziwa mgongoni mwake bila huruma wala ushirikiano wowote ule.

Endelea kujipa moyo ki-hivo hivo pengine kweli Wana-Arumeru Mashariki badala ya kumchagua mbunge wa kuwakilisha kero zao bungeni Dodoma huenda wao wakaamua tu kumpa kazi mwanafamilia wa Mzee Jeremiah ili mlo wa familia hiyo moja usitetereke; potelea mbali matatizo yao wao wenyewe watajijua kivingine tu.

Na huo ndio kile kitu tunachokiita UPENDO WA AGAPE ya Wana-Arumeru Mashariki kuchagua kujinyima wao ili familia ya Mzee Sumari ijihakikishie mkate wao wa kila siku.

Najitolea kuihudumia familia ya Kijana Sikio Hereni kuanzia chakula hadi fedha za kujikimu bila mashariti yoyote kwani TAYARI!
 
Kama Wassira ataendelea kubariki UBAGUZI wa Sendeka nashauri wanaCDM waende na NDIZI MIFUKONI kwenye kampeini za CCM Wassira akianza tu kuropoka UTUMBO kila mtu anatoa NDIZI MFUKONI na kumuonesha Wassira, ndio ajue DHAMBI YA UBAGUZI NI NINI?!

ndizi za aina gani?(mbivu au mbichi?)
 
Back
Top Bottom