Sioi alitaka kujitoa kikao kikakataa

Wasira wasira hahahahaha aaaah wasira na wewe wa kumnadi mtu hahahaha, inahitaji busara na ushawishi ili kumnadi mgombea sasa we mwenzetu umeazima wapi? CCM kweli kweli jamani hata wasira, da kweli mmeishiwa. Jipangeni na uchaguzi mwingine wa znz mkashindane na mke wenu CUF, hahaha Arumeru mmefulia
 
Hivi, picha za huyo mtu akiuchapa usingizi hazijafika huko?
 
Siku zinavyozi kwenda unaona mgombea amechoka na maneno yamemuisha kachoka ,kuhujumiwa na wana CCM wenzake manake wanamnadi kwa mambo ya masihara kabisa,mbona kwa kafumu walienda watu wenye mvuto huko wamepeleka magarasa,tukapoona mambo ni magumu muungalie Mwigulu alivyokonda na nuru ilivyopotea yaani sio Mwigulu yule wa Igunga,Wassira yeye anajua alichotumwa na Jakaya nenda kavuruge uchaguzi basi
 
niPO arusha nimesikia hayo maneno.....na nape wamesema hawezi kwenda kwnye kampeni,pamoja na RC NDO WAO WALIO MKATAA...Hilo la kujitoa ni la kweli...na wamemwambia maji lazima ayaoge
 
Mkuu, kwa kweli kijana SIKIO HERENI anayo wakati mgumu haijawahi kutokea.

Back
Top Bottom