"Sintosahau Maishani"...!!

hahahaaaaaaaaaa, hapo pa kutafutia credit pameniacha hoi
pole bwana Sizinga kwa kunyang,anywa tonge kwa mudomoni yako lol
Mkuu Sizinga sometimes hizi mambo zinatokea bana..
Mie kinachoniuma ni pale unapofanya 'uungwana' kwa kufikiri demu atauona huo 'uungwana' wako ili akupe credit..
Kinyume chake unakuja kusikia kuwa kamegwa kwenye mazingira ambayo wewe uliyaona kuwa hayakuwa 'fair'..
Binafsi i got the same story like this and when i met the lady next day..she was laughing at me!..nilijiona mdhaifu sana aisee..
 
you must be joking, lazima akudharau....ustarabu mwingine bwana.....huyu demu mpaka kesho anakuona una kasoro mtu wangu, katika maisha kuwa risk taker utawini haraka sana, high risk high return...kama unaogopa gharama basi vizuri huvipati wewe kwani vizuri ni gharama....siku nyingine kuwa na maamuzi ya kiume
 
Du!Mkubwa mimi niwe mkweli kwa masifa uliyoyatoa kwa uyo Duu mimi nisingemsubilisha kiivyo aisee yani ile katoka kuoga tu kingeeleweka kwanza alafu usingizi baadae tena kama vipi kulala siku iyo tunakupa likizo.
 
umelala na mwanamke usiku kucha hata kukic mjomba ulikwama!!!

usijilaumu,kweli ww n gentleman,sio sifa kuchomeka popote upatapo nafasi,hongera.wsh wanaume wote wangekua na ujasir km wk rather than taking off their pants wherever they fl lyk....guys mbadilike
 
usijilaumu,kweli ww n gentleman,sio sifa kuchomeka popote upatapo nafasi,hongera.wsh wanaume wote wangekua na ujasir km wk rather than taking off their pants wherever they fl lyk....guys mbadilike

Mmh I like your comment coz umepiga pabaya!! Hii kitu wanaumme wengi huwa inatushinda, tunafungua zipu everywhere possible!
 
Du!Mkubwa mimi niwe mkweli kwa masifa uliyoyatoa kwa uyo Duu mimi nisingemsubilisha kiivyo aisee yani ile katoka kuoga tu kingeeleweka kwanza alafu usingizi baadae tena kama vipi kulala siku iyo tunakupa likizo.

Sasa c uajua tena kuku wako kwanini umkimbize kwa fimbo....??
 
lol, dogo huna gemu kabisa sasa unaleta kisingizio cha ujentroman..hahaa..

aAagh ujue hii kitu imeshatokea, and at that time niliona kama nimelost na nimefanywa vibaya, ingawa by now naona kama vile niliepushwa smthng pale.....umeona eeh....and more some other gentlemen here wameona kwa jicho la tatu kwamba there are lots than enough caring and respecting the gel...ambaye hakunithamini...outputs
 
caring my azz..ulikosa mbinu za mchezo, ila uchu ulikua nao, #uchu_debe..hehee..
 
the boss tupe tupe uzoefu!ila vijana wa siku hizi hawa hawana bwana!na hawa watoto wetu wa BBM mojA YA PILI WAPO RUM HAWA STORY KAMA IZI WAZITOE WAPI?HEBU TUSHEE
 
Pole sana kwa kutudhihirishia,uliumia ila hata kama kuku wako ulitaka umle lini ihali sherehe ilishafika.na mazingira hata ya upataji room ya msaada.
 
Pole sana kwa kutudhihirishia,uliumia ila hata kama kuku wako ulitaka umle lini ihali sherehe ilishafika.na mazingira hata ya upataji room ya msaada.

Mie nimefarijika na hiyo pole uliyoitoa!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom