"Sintosahau Maishani"...!!

Hii kali....kuna wakati ilinitokea....ilipotimu saa nane usiku nikasema liwalo na liwe, kilichofuata ni historia. Ila hakuna kitu kinachouma kama kumpa gal platform kuubwa halafu unasikia anamegwa kirahisi, inauma aisee na nimekuelewa, pole Sizinga
 
Last edited by a moderator:
dah, hii ni classic case ya udomo zege, a high degree ya naivette pamoja na 'ustaarabu' uliopitiliza... mkuu ulikuwa unasubiri binti achukue kitu ajiwekee mwenyewe nini? katika dunia ya sasa ambayo mambo yana-run kwenye fast- lane, decisions zinapaswa kufanywa instantaneously (hakuna mambo ya kungoja kesho) ...no wonder wajanja walianua ngoma wakakuacha unajilaumu
 
Sizinga sikulaumu sana hii inatokeaga sana tu I can understand. Japo sijawahi kutokewa na mazingira ya hivyo ila kwa akili za enzi hizo tuko wadogo hili linawezekana kabisa.
 
Last edited by a moderator:
Dah! Pole sana Mkuu S@izinga...Inaelekea Binti alikuwa bomba sana mpaka ukapata mkanganyiko na kufanya vibaya katika masomo yako. Hii itakutesa moyoni kwa muda mrefu sana....Pole sana

Look, if you had one shot, one opportunity
To seize everything you ever wanted-One moment
Would you capture it or just let it slip?
 
Last edited by a moderator:
dah..kweli mindset ya msichana na mvulana ni tofauti sana, maana mi mbona naona kama hii story yako ni ushuhuda..

halafu kitu kingine.....

....I was totally confused na nilifanya bifu kubwa sana na yule dada na karibu chuo kizima walikuja kujua hii kitu...

...if you had kept it all cool, yule mkenya angeendelea kuamini kua you both had shared the girl, ila sasa wewe nawe you completely sold yourself out..lol
 
Hapa sijui ni ugumu au kitu gani, wengine hapo ukishaingia room na kidosho kama huyo hata kabla ya kuoga lazima bao la kwanza liingie kimiani. We wa mwaka gan Sizinga?
 
Hapa sijui ni ugumu au kitu gani, wengine hapo ukishaingia room na kidosho kama huyo hata kabla ya kuoga lazima bao la kwanza liingie kimiani. We wa mwaka gan Sizinga?

Man....we acha tu, siwezi ongea manake everythng is out, bt I learn smthng there
 
dah..kweli mindset ya msichana na mvulana ni tofauti sana, maana mi mbona naona kama hii story yako ni ushuhuda..

halafu kitu kingine.....

...if you had kept it all cool, yule mkenya angeendelea kuamini kua you both had shared the girl, ila sasa wewe nawe you completely sold yourself out..lol

Yah its kind of ushuhuda, na imentokea kweli na nimejifunza mengi kwenye hii kitu......siwezi kuingia na mdada yeyote faragha bila kupga sound kwanza!! Halafu ....we acha!!
 
Dah! Pole sana Mkuu S@izinga...Inaelekea Binti alikuwa bomba sana mpaka ukapata mkanganyiko na kufanya vibaya katika masomo yako. Hii itakutesa moyoni kwa muda mrefu sana....Pole sana

Look, if you had one shot, one opportunity
To seize everything you ever wanted-One moment
Would you capture it or just let it slip?

Thanks bro kwa hilo song...real fantastic...
 
Last edited by a moderator:
Sizinga sikulaumu sana hii inatokeaga sana tu I can understand. Japo sijawahi kutokewa na mazingira ya hivyo ila kwa akili za enzi hizo tuko wadogo hili linawezekana kabisa.

yah its true na mie imeshantokea na nimeamua kushare hapa jamvini...broda!!
 
dah, hii ni classic case ya udomo zege, a high degree ya naivette pamoja na 'ustaarabu' uliopitiliza... mkuu ulikuwa unasubiri binti achukue kitu ajiwekee mwenyewe nini? katika dunia ya sasa ambayo mambo yana-run kwenye fast- lane, decisions zinapaswa kufanywa instantaneously (hakuna mambo ya kungoja kesho) ...no wonder wajanja walianua ngoma wakakuacha unajilaumu

Nshajifunza broda!! Inshu zote sasa ni at instant, hamna kulemba!!
 
dah nimeumia kama ni mimi vile
First ni kuwa haukuwa matured katika kuwasoma girls
na pili ulikuwa naive sana

tatu hao wakenya walikuwa few steps ahead yako na walikuwa wameshamsoma mdada...

wewe ulipigwa bao laini mno la kisigino....

kila mwanaume ana story kama hii ya enzi za shule aiseee...

mimi ninazo nyiingi lakini aah....lol

funguka tuuu jf ndo mambo yote
 
sasa wewe ni DHAIFU ndio maana hata masomo ukasupp....
Aisee The Boss...umeingia moyoni mwangu...yanii we acha tu bro!! Utoto, un-matured, frustrated, naive, no experience, lack of confidence...na chochote kile kisemwe tu, I agree...kinilichoniuma sana hata masomo nilishindwa kuyamudu for that semester...Ingawa niliclear huko mbeleni lakini...!

Yaani we acha tu Bro....!!!
 
Ni kweli kwani kuna rafiki yangu mmoja alinipa moyo sana akaniambia kuna kitu Mungu kakuepusha...which makes sense by the way....sidhani kama nilishinda vishawishi bali niliumizwa sana dear!!
NTOA MADA UNA MATATIZO NA HILI LINAWAKUMBA WENGI WA JINSIA YAKO,
1.HAKUWA DEMU WAKO
2.HUJAWAHI KUMTONGOZA UNAMEZA MATE TUUUU
3.NI RAFIKI TU KWANINI UUMIE VILE WEWE ANGEKUWA MKEO SAWA,DEMU WAKO SAWA!
4.KUMEGW MARA MOJA SIO SABABU UNGEMTONGOZA NA WEWE KWANI TATIZO LILIKUWA WAPI ALIENDELEA NA HUYO MKENYA ?KAMA HAWAKUENDELEA UNGEPIMA UCHUKUE MZIGO NA WEWE UMEGE 100%
HAINIINGII AKILINI KILICHOKUUMIZA MPAKA USISAHAU Sizinga INAMAANA MTU AKIMUOA DADA YAKO UTAUMIAEEEEEEEEE
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom