Raimundo
JF-Expert Member
- May 23, 2009
- 13,416
- 12,607
Kwakuwa limeshabikiwa na social media... Dereva atakomaje...
Ngoja tusubiri matamko ya mawaziri na watendaji wengine wa serikali, make ikishaenda kwenye social networks ndo kazi inaanza.
Kwakuwa limeshabikiwa na social media... Dereva atakomaje...
Sio mbaya pini la maana!
Angezimia hahahahaWacha mheshimiwa wetu kichwa chake kimuume tu,anakazi sana kuinyoosha nchi yetu .............Cpati picha ndo ingekuwa kwenye Bombadia zetu
pia nimegundua hii gari haikuwa na abiria, ni waliamua tu kufanya shootingSikubaliani na suala la kukamatwa hao mabwana.
1. Gari ilikua inatembea si zaidi ya speed ya 5kmph. Kwa kasi hii wala kusingekua na madhara yyte na alichokifanya dereve (angalia video uone speed ya gari)
2. Gari ilikua inatembea ktk barabara ya mtaani isiyokua na msongamano kabisa. Hivyo wala kusingekua na madhara yyte kwa tukio hilo.
3. Life is too short, we don't have to be serious all the time. Kuna wakati tunahitaji mdhaha na vicheko kwa kuzingatia usalama. Kipi ni hatari kati ya huyu jamaa anayefanya mbwembwe kwa speed ya 5kmph na yule anayesinzia 100kmph.
Ni kweli...gari wala haikua na abiria...jamaa wameamua tu kufurahia maisha tena kwa uangalifu mkubwa wa speed ya 5kmph...... Wacha tuache kuwa too conservative......hata wata watashindwa kuvumbua vipaji vyao kwa kuogopa kuthubutu.pia nimegundua hii gari haikuwa na abiria, ni waliamua tu kufanya shooting
Hapakua na abilia ni dreva na makonda wako(wahusika wa gar )Jamaa anacheza na maisha ya watu
kweli mkuu nakubaliana na weweSikubaliani na suala la kukamatwa hao mabwana.
1. Gari ilikua inatembea si zaidi ya speed ya 5kmph. Kwa kasi hii wala kusingekua na madhara yyte na alichokifanya dereve (angalia video uone speed ya gari)
2. Gari ilikua inatembea ktk barabara ya mtaani isiyokua na msongamano kabisa. Hivyo wala kusingekua na madhara yyte kwa tukio hilo.
3. Life is too short, we don't have to be serious all the time. Kuna wakati tunahitaji mdhaha na vicheko kwa kuzingatia usalama. Kipi ni hatari kati ya huyu jamaa anayefanya mbwembwe kwa speed ya 5kmph na yule anayesinzia 100kmph.
Hata hivyo haifai kucheza na chombo cha moto kikiwa barabaraniHapakua na abilia ni dreva na makonda wako(wahusika wa gar )
Kwan wahucka wa gar hawafagHapakua na abilia ni dreva na makonda wako(wahusika wa gar )
hahaha...ngoma konyo sn hiiMimi simlaumi dereva. Huku kuna nesi aliacha sindano t.koni akaanza kucheza huu wimbo, ilikua ringtone ya simu ya mgonjwa...