SINGIDA: Dereva atiwa mbaroni kwa kuachia usukani na kuanza kucheza wimbo wa msanii Darasa

Sikubaliani na suala la kukamatwa hao mabwana.

1. Gari ilikua inatembea si zaidi ya speed ya 5kmph. Kwa kasi hii wala kusingekua na madhara yyte na alichokifanya dereve (angalia video uone speed ya gari)

2. Gari ilikua inatembea ktk barabara ya mtaani isiyokua na msongamano kabisa. Hivyo wala kusingekua na madhara yyte kwa tukio hilo.

3. Life is too short, we don't have to be serious all the time. Kuna wakati tunahitaji mdhaha na vicheko kwa kuzingatia usalama. Kipi ni hatari kati ya huyu jamaa anayefanya mbwembwe kwa speed ya 5kmph na yule anayesinzia 100kmph.
pia nimegundua hii gari haikuwa na abiria, ni waliamua tu kufanya shooting
 
Ni kweli...gari wala haikua na abiria...jamaa wameamua tu kufurahia maisha tena kwa uangalifu mkubwa wa speed ya 5kmph...... Wacha tuache kuwa too conservative......hata wata watashindwa kuvumbua vipaji vyao kwa kuogopa kuthubutu.
 
Huyu driver aliletewa leseni sebreni na abiria aliokutana nao machiz kwl kwl wakampagawisha
 
Sikubaliani na suala la kukamatwa hao mabwana.

1. Gari ilikua inatembea si zaidi ya speed ya 5kmph. Kwa kasi hii wala kusingekua na madhara yyte na alichokifanya dereve (angalia video uone speed ya gari)

2. Gari ilikua inatembea ktk barabara ya mtaani isiyokua na msongamano kabisa. Hivyo wala kusingekua na madhara yyte kwa tukio hilo.

3. Life is too short, we don't have to be serious all the time. Kuna wakati tunahitaji mdhaha na vicheko kwa kuzingatia usalama. Kipi ni hatari kati ya huyu jamaa anayefanya mbwembwe kwa speed ya 5kmph na yule anayesinzia 100kmph.
kweli mkuu nakubaliana na wewe
 
daah yan kuingia humu ndan sijakuta topic ya darasa ijawah tokea kwa zaid ya wiki tatu sasa........! kweli kila msanii na wakat wake aisee
 
Back
Top Bottom