Simulizi: Milango ya mafanikio

SEHEMU YA SITINI NA MBILI

Samahani mdogo wangu Kwa nilichokufanyia pale kanisani,Kuna watu walinivuruga pale lakini usijali.
alijitetea Cathy.

Hivi unafahamu wewe ndiye umenifanya nije kanisani, kwakuwa tulikubaliana jana Sasa nimeshangaa unakuwa kama hunifahamu, kiukweli nimejisikia vibaya sana, sema sina cha kufanya lakini. alizidisha lawama Sam.

Huna dogo na wewe, kwahiyo unataka kuombwa msamaha siyo?aliongea Cathy huku akibinua midomo yake kwa dharau.

Hapana sina maana hiyo,vipi gari utanifundisha lini maana ndicho tulichoahidiana jana, alipindisha mazoezi Samson.

Ni kweli nilikubali lakini hiyo inahitaji muda , tena siyo leo wala kesho , kwa mfano leo kuna kazi nahitaji kuifanya na hapa nafikiria nikapate lunch hapo home kisha niingie mtaani nimtafute kijana yeyote anifanyie kazi yangu tena si mmoja hata wawili. aliweka kituo Cathy.

Kazi gani hiyo si ningefanya hata Mimi kwani ni kubwa sana. aliuliza kwa pupa Samson.

Nahamisha vitu fulani pale sebuleni, Kuna meza fulani nataka niitoe, pia Kuna kabati fulani dogo lipo chumbani kwangu nalo nalitoa, nataka niviweke chumba kingine akipatikana mteja nauza, kwakuwa Mimi nataka kununua vitu vipya. alifafanua Cathy.

Samahani naomba hiyo kazi nipe Mimi ili hela hiyo inisaidie kwa matumizi madogo madogo, alisema Samson

Kwanza Cathy alisimamisha gari Kisha akamtazama Samson kwa muda huku akitabasamu,
Ujue najaribu kulinganisha lile kabati na wewe ulivyo naona kama nitakudanganya huwezi ndugu yangu,
Kuhusu meza hata mimi naibeba naweza hata kuiburuza lakini kwa lile kabati uongo huwezi Samson.

Lakini jambo lingine ni kuhusu mama Kulwa, unajua akisikia nimekuchukua na kuja kukufanyisha kazi huku atagomba, ni rafiki yangu ni mama yangu ni mshauri wangu hivyo atanichaaamba vizuri sana.
Na hii si ndiyo njia ya kwenda kwenu Mimi naona shuka tu Mimi naenda zangu home. alisema Cathy huku akiwasha indicator ya kuelekea kwake.

Ungejua kuwa nimezaliwa kwenye maisha ya kijijini, Wala usingesema siiwezi hiyo kazi, kuhusu mama Mimi nilimuaga kuwa naenda kanisani Kisha nitapitia kwa wenzangu kujisomea hivyo hata nikichelewa haitaleta shida, Mimi nataka hela hiyo nina shida nayo. alikazania lile jambo Sam

Haya mtoto akililia wembe mpe, alijibu Cathy huku akitia gia na kuelekea nyumbani kwake, dakika si nyingi walikuwa kwenye mtaa mmoja ulionyooka huku nyumba zikiwa zimejengwa kwa mpangilio,
Kiasi Cha Samson kupenda zaidi yale mazingira, Cathy alishuka kwenye gari na kufungua geti mwenyewe kisha akaliingiza gari lake na kwenda kupaki sehemu fulani nzuri sana.

Karibu mgeni king'ang'anizi, nakuita hivyo kwasababu umetumia nguvu sana kufika hapa, waliingia wakamkuta mwanamke fulani ambaye umri ni sawa na Cathy mwenyewe lakini alikuwa ndiye dada wa kazi, Samson alishangaa kuona yule mwanamke anatumwa na Cathy, Mara alete hiki Mara hiki huku Cathy akiwa amekaa tu, Chakula kilikuja huku Cathy yeye akiwa anakula huku anatembea tembea , Mara amwage Mara afanyaje, Samson aliona kama Hana heshima mbele ya ile meza ya chakula, lakini yule dada wa kazi hakuchoka , alikuwa anafuta Kila alipopachafua Cathy.

Baada ya muda kidogo Cathy aliingia chumbani kwake huku yule dada akiwa nje akifanya Kazi zake, Samson alitulia pale sebuleni (Master) huku akitazama uzuri wa ile sehemu , akiwaza kwani huyu Cathy ana kazi gani kiasi cha kuwa kwenye mjengo mzuri kama huu hata nyumba ya mama Kulwa na Mzee Mgaya haikuingia hata robo ya hii nyumba ya Cathy. Baadaye yule dada aligonga mlango wa chumba Cha Cathy, Kisha akarudi kuja kukaa pale sebuleni.

Cathy alitoka akiwa kajifunga kitaulo fulani kifupi sana kiasi cha kuonesha maungo yake.

Samahani boss wangu ulisema ukirudi utaniruhusu nikasuke nywele zangu, naomba basi niende Mara moja, aliongea yule dada huku akiwa kakusanya mikono kwa heshima.

Sawa usijali shoga yangu, ila uwahi kurudi na leo tutasaidiana kupika maana nimemiss , alijibu Cathy Kisha dada akatokomea.

Enheee kwanza nenda pale kwenye dinning utakuta Kuna meza itoe ipeleke jikoni kule, halafu nikuoneshe kazi ya kulipwa Sasa, alisema kwa vitisho Cathy.

Baada ya kupeleka meza jikoni waliingia chumbani Samson akaoneshwa kabati fulani refu ila jembamba, akalitikisa kisha akatoa baadhi ya nguo na kuzitupia kitandani na kuanza kulijaribu kuliburuza licha ya kuhangaika Mara kadhaa lakini alishindwa.

Unaona nilikwambia huwezi , hata ungekaa wiki nzima hapa huwezi kulitoa hapo,unanichelewesha mi nataka kwenda kuoga.aliongea Cathy huku akicheka kwa dharau.

Samson alitoka nje akakiona kigogo fulani chenye urefu kama futi mbili, akaingia nacho akavua Shati lake akatega kigogo kile akalilaza kabati akawa anasukuma huku kile kigogo kikizunguka na kuifanya kazi iwe rahisi na kufikisha chumba Cha pili kiurahisi tu.

Ah wewe kweli msomi umetumia akili sana, loh nitakupa Mara mbili ya hela niliyokuahidi umenifurahisha sana , cathy aliongea kwa furaha huku Kila wakigonganisha macho yao Cathy akiangalia pembeni kwa aibu.

Naomba nikachukue Shati langu, Samson aliongea huku akijitanua na kujifanya kidume japo mwanzo hofu ilimwingia kwa kuona anaenda kuaibika mbele ya mwanamke.

Duh ila Sam una nguvu, tofauti kabisa na huo mwili. aliongea Cathy huku akiwa kajishika kiunoni kwa mshangao.

Hata wewe naweza kukubeba mgongoni mwangu bila shida, Tena siyo mgongoni Mimi nakunyanyua kabisa. Samson alisema bila aibu kwani alishaona Cathy mwenyewe hajiheshimu mbona yuko na kitaulo kifupi namna ile.

Cathy bila kutarajia alijikuta kanyakuliwa juu na kupelekwa chumbani kwake, huku akijisikia aibu fulani hakuwahi kuwaza kama Samson anaweza kuwa mjanja vile, alitupwa kitandani Kisha Samson akakaa pembeni akimwangalia, huku kitendo cha kubebana kikiamsha joto la mapenzi kwa Kila mmoja,

Wewe mtoto umeniumiza ujue Sasa unanitupaje hivyo kitandani, ungenivunja mkono wangu. aliongea Cathy kwa sauti ya chini yenye kuzidiwa na Mapenzi, Samson hakuremba Tena kwani alishawajua wanawake kwenye angle hii lazima ujiongeze hasa kwenye vitu vya ghafla kama vile.

Samson akamgeza chali Cathy wa watu na kugundua kuwa hakuvaa hata nguo ya ndani hapa ndipo palimfanya Samson azidishe ukatili
licha ya Cathy kumzuia Samson asifanye anachotaka kufanya, lakini Samson hakujali pa kutumia nguvu alitumia huku akimaliza shida yake licha ya kuwa hakupata ushirikiano wowote toka kwa cathy.
baada ya kufika safari yake, aligundua kuwa Cathy analia, akajua keshazua kesi akavaa nguo zake na kutoka mbio huku moyo ukimwenda mbio akidhani huenda Cathy akaja kushtaki maana kwanini alie. Ina maana hajafurahishwa na alichofanyiwa. aliwaza Samson huku akikata mitaa akielekea kwao.

Itaendelea...............................
 
Huyu kijana ni noma sana.ataleta balaa kubwa.
 
mtoto malaya huyu na tayari kashakuwa mbakaji
 
Sam umeshindikana, umembaka Cathy lolunachikitafuta utakipata
 
SEHEMU YA SITINI NA TATU

Hebu kwanza kung'uta hiyo miguu ndipo uingie ndani, halafu mbona umechafuka hivyo ulienda kanisani wewe kweli, usijekuwa umecheza na akili zetu, halafu saa hizi ni saa kumi na moja kwani ulikuwa wapi muda wote huo? aliuliza mama Kulwa.

Nilipotoka kanisani niliungana na wanafunzi wenzangu tukaenda kujisomea, alijitetea Samson.

Sawa, sina uhakika na maelezo yako , isipokuwa naomba ujitahidi kuheshimu wengine na kujiheshimu wewe mwenyewe, jana uliomba ruhusa vizuri sana kwamba unaenda kanisani, lakini kitendo cha kurudi muda usiostahili tayari unajivunjia uaminifu, chakula kipo nadhani japo kitakuwa kimepoa ule halafu ukae hapahapa sawa.usifanye kama siku ile mara unatoka. alisema mama Kulwa huku Sam akiitia kwa kutikisa kichwa.

Mimi naenda kwa yule dada yako Cathy, kuna mambo naenda kuongea naye narudi siyo muda na njoo ufunge geti. aliongea mama Kulwa huku akilitoa nje gari lake.

Samson moyo ulipiga paaah!!!
Kitendo cha mama Kulwa kwenda kwa Cathy Samson alikosa raha, aliona kama Kuna mambo yanaenda kukaa hadharani, muda si mrefu alikosa amani kiasi japo siyo sana kwani alikuwa nusu kuamini kama kweli Cathy mtu mzima anaweza kusema vitu vile, lakini upande mwingine akili iliona Cathy huwa hana aibu anaweza kusema tu. alijitahidi kujisahaulisha ili awaze mambo mengine ila kila akikumbuka moyo ulimuenda mbio.

Halafuu leo hapa kumepooza sana Rahma naye sijui yuko wapi, mbona si kawaida kwenda sehemu peke yake, au katumwa? lakini muda wote niliofika hapa awe hajarudi bado?
Samson alikosa majibu ya maswali aliyojiuliza, akachukua ndoo ya maji ili akaoge maana Kuna kijiharufu kibaya alikuwa anakisikia, alimaliza kujisafisha na kujifuta vizuri Kisha akaliendea poti la Chakula akawa anakula nyama tu kwa tamaa zake maana hakuwa na hamu ya kula tena, si alikula kwa Cathy?

Akatoka nje na kuanza kufua nguo zile alizosimangwa kwamba mbona zimechafuka sana, wakati kigiza kikiingia mama Kulwa alirudi , Samson alikuwa makini sana kuona mama kaja na ujumbe gani kutoka kwa Cathy? lakini alishangaa kuona mama yake akiwa Hana maswali yeyote yupo kawaida tu, akajua hakuna kitu maana mama Kulwa akisikia jambo huwa hachelewi lazima akuulize tu muda huohuo.

Mama Da Rahma yuko wapi,
aliuliza Samson.

Mchana alikuja Tausi hapa akaomba kuondoka naye nadhani atarudi kesho, alijibu Mama Kulwa.

Mzee Mgaya alirudi akiwa amelewa kiasi fulani kwani alionesha hali ya uchangamfu sana huku akileta vichekesho fulani pale sebuleni.

Ila mume wangu leo nina masikitiko kidogo juu ya yule mwanangu Cathy, nasema nasikitika kwasababu,
Baada ya kurudi huyu Samson nikaona ngoja nimuache niende kwa Cathy, maana kuna vitu nilitaka tukajadiliane naye, nimefika nimegonga geti vizuri yule mwanamke mwenzake kanifungulia akaniambia kuwa anaenda kumwita Mimi nikimsubiri barazani kwake, cha ajabu yule dada wa kazi akaniambia kuwa kasema asiamshwe,

Ikabidi nimwambie kuwa amwambie ninayemuita ni mimi, lakini bado aligoma kuja. masikini mimi ikabidi nitoke kwa aibu nikarudi hapa.
Najiuliza mambo mengi sana kwani kapatwa na nini au kafanyaje?
Cathy Nina historia yake kubwa tu kuhusu yeye, yapo mengi nimemfanyia Mimi ni mama yake, kwanini anifanyie hivi. alilalamika mama Kulwa.

Unajua mke wangu Mimi sioni hoja yako ya msingi, sanasana unajiaibisha tu,
Ulitakiwa ujiulize, alikuwa na nani?alikuwa akifanya nini?
Utakimbilia lawama bure mke wangu,
ingekuwa mmekutana barabarani, au sehemu tu ya wazi halafu akaonesha ujeuri huo. ungekuwa na hoja za msingi, lakini pale ni kwake, alikuwa chumbani kwake, vyumba vyetu vina mengi yanayofanyika hakuna shahidi zaidi ya hizi Kuta.
Mke wangu utakuwa unazeeka vibaya. aliongea Mzee Mgaya akitaka mkewe ajiongeze kuliko kukimbilia kulaumu.

*************************************

Siku ya jumatatu Samson alienda shule huku akiwa na amani sana,
Maisha yalikuwa yanaenda vizuri huku kelele pale nyumbani zikiwa zimepungua,
Akiwa darasani siku hiyo alikuwa makini sana, yaani hakuwa na kale kauvivu ambako huwa anako siku zote, badala yake Kila mwalimu aliyeingia kufundisha somo lake, Samson alikuwa makini.

Mwalimu mkuu aliingia huku akiwa kakasirika baada ya kuona wanafunzi wakipiga makelele,

Hebu nyamazeni huko, hapa ni darasani au kilabu cha pombe za kienyeji, eeh yaani watu hamna hata chembe ya aibu, kwanini mnakuwa mnalazimisha kuchapwa, kwanini?
aliongea huku akiwa analinganisha fimbo alizoshika mkononi ipi itafaa kuchapa darasa zima.

Wapo waliojitetea kuwa walikuwa kimya wakijisomea lakini wapo pia waliosema kuwa wapo tayari kuwataja waliokuwa wakipiga kelele, lakini baada ya muda alitupa fimbo zake chini huku akiwasema kuwa kama wazazi na walezi wao wapo tayari kupoteza ada na muda kwaajili yao ni vyema wajikite kuwa na nidhamu shuleni pale.

Baada ya kusema yale, alimuita Samson amfuate ofisini kwake,
Walifika huku akimuashiria aketi, huku akifunua funua mafaili yake Kisha akainua uso na kuanza kuzungumza na Samson.

Samson unakaribia kuingia kidato cha tatu, na nadhani bado miezi miwili ili kufikia kufanya mitihani yenu, Sasa nasikitika kusema Kuna uongozi kutoka mkoani, namaanisha kuna maofisa walikuja hapa kukagua uhalali wa wanafunzi ambao wanasoma hapa, huku wale ambao si halali, wakitakiwa kusimamishwa kwa muda hili zoezi limefanyika siku nyingi sana , na nasikitika kusema kuwa wewe ni mmoja wa wanafunzi ambao watasimama hadi zitakapokuja taarifa zako sahihi basi utaendelea na masomo yako kama kawaida, aliweka kituo mwalimu mkuu.

Samson tumbo lilimkoroga huku, miguu ikimuisha nguvu lakini alijitahidi akauliza,

Kwani mwalimu Mzee Mgaya na wewe si mlimalizana na Kila kitu kikakaa sawa, Sasa Kuna Nini tena mwalimu wangu, maana kipindi chote hicho imeshindikana Hadi nisimamishwe kipindi hiki? aliuliza Samson.

Sikia Samson, Mimi mwenyewe ni muajiriwa, nina wakubwa zangu , ni kweli nilimsaidia baba yako ili uendelee na masomo lakini taarifa zako hazikukamilika na Kuna sehemu mlitakiwa mgonge mihuri hamkufanya hivyo, na kibaya zaidi maofisa Elimu ngazi ya Mkoa ndiyo wameamua haya, siyo Mimi,
Mimi kwanza napenda sana maendeleo yako hapa shuleni wewe ni kipenzi cha walimu hapa shuleni lakini hatuna namna, haya utamfikishia Mzee wako, ningeandika barua lakini sioni sababu za kufanya hivyo. alimaliza kuongea mwalimu mkuu huku akimwambia Samson abebe vitu vyake na asionekane shuleni pale hadi watakapokamilisha taratibu zao.

Samson machozi yalitiririka kuanzia shuleni pale hadi nyumbani, huku baada ya kufunguliwa geti na kuwaona wazazi wake akizidisha kilio, hakika alikamatwa na kukamatika.
Ni lini milango ya mafanikio itafunguka, endelea kuifuatilia simulizi hii.

Itaendelea.........................
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom