Makosa matano ya Wafilisti kwa Samsoni

CK Allan

JF-Expert Member
Aug 14, 2013
2,729
5,923
MAKOSA MATANO YA WAFILISTI KWA SAMSONI
By CK Allan - Kitabu Cha Rejea ni kutoka WAAMUZI (Biblia)

Inasadikika kuwa watu waliouwawa kwa mkono wa Samson kwenye ule ukumbi (uwanja wa michezo) siku Ile Samson anajitoa mhanga, walikuwa ni wengi KULIKO wale waliouwawa wakati wa uhai wake!

Kwa Lugha rahisi kama Samson aliishi miaka 30

Idadi ya watu aliowaua kwa miaka hiyo 30 ni wachache kuliko watu waliouwawa ndani ya dakika chache za mwisho za uhai wake..

Kwenye mpira tungesema what a comeback!! 😝

Yafuatayo ni MAKOSA ya kizembe kabisa kufanywa na Wafilisti mpaka kupelekea kuuliwa

1. Kushindwa kumuua kabisa Samson pale walipopata nafasi!
Yaani walikutana na adui yao, eti wakamtesa, wakamtoboa Macho tu! Walitakiwa wakate kichwa. Bila shaka ndio maana wafalme wa kale wakitaka kuua adui zao wanasema "niliteeni kichwa chake!"

2. Kusahau kabisa kuhusu nywele za Samson!
Yaani Wafilisti walijua kabisa "ASILI" ya nguvu za Samson ni nywele, kwahiyo Suluhisho ni ilikua ni kuweka ulinzi kwenye nywele zake yaani zikitokea tu! Wembe.. ilibidi Samson aitwe kipara mwanzo mwisho

3. Kumpa Samson adhabu ya kuzunguusha mashine ya kusaga nafaka!
Walidhani wanamkomoa, Lakini technically haya yalikuwa mazoezi ya misuli kwa Samson! Hebu fikiria zaidi ya miaka miwili Samson anafanya mazoezi makali, ulitegemea nini!

4. Kumdharau Samson
Wafilisti walikuwa na dharau sana kwa Samson, hata siku ya tukio bado walikuwa wanamfanya kama kichekesho! Hawakuona "hatari" yoyote kwake! Just imagine mtu aliyewahi kuua watu elfu 1, leo wanamchukulia poa tu!

5. Kukubali ombi la Samson la kupelekwa kwenye nguzo
Yaani mtu aliyewahi kung'oa lango la mji akaweka kwenye bega lake akasepa nalo. Leo anawaambia naomba nishike hizi nguzo za hii nyumba "nicheze" vizuri!

Wafilisti wanakubali! Yaani hakuna hata mmoja machale yanamcheza tu?
 
Ila wanawake ni nouma jamani... Eeeh!!!
Sauti nyororo ya Delila na kudekadeka hatimae Samson akaingizwa mkenge...! Mwanzoni alijifanya mjanja mjanja wee..! Lkn mwisho wa siku ubaunsa wote chali..

Hv nyie wanawake mna nguvu gani ya ziada nyuma ya pazia la ushawishi?

Pokeeni maua yenu

Happy Sunday!
 
Nakubaliana na wewe kote ila kwenye nguvu za mara ya pili hazikutoka kwenye nyweli, bali Samson alimuomba Mungu nguvu Mungu akampa, ikumbukwe hapo kabla Samson hakuwahi kumuomc Mungu apewe nguvu kwakua alizipata tokokana na nywele zake.

kama kweli ati alipata nguvu bbda ya nywele kuota basi asingemuomba Mungu "ampe nguvu" angea nazo tayari
 
Ila wanawake ni nouma jamani... Eeeh!!!
Sauti nyororo ya Delila na kudekadeka hatimae Samson akaingizwa mkenge...! Mwanzoni alijifanya mjanja mjanja wee..! Lkn mwisho wa siku ubaunsa wote chali..

Hv nyie wanawake mna nguvu gani ya ziada nyuma ya pazia la ushawishi?

Pokeeni maua yenu

Happy Sunday!
Asante.
Nimeyapokea kwa niaba ya wanawake wote wa Jf....👏👏👏
 
Dunia hii ya karne ya UELEWA bado kuna watu mnaamini hizi hadithi za kubuni za sungura na fisi?
Kuna nchi wanatumia Biblia kama kitabu cha literature. Hivyo wanachambua maudhui mbalimbali kama tuchambuavyo vitabu vya mama ntilie n.k.

Hivyo, hata huamini kama stori hizo ni real au feki, ujumbe wa stori husika hauakisi maisha ya Leo?

Kuanzia Leo, soma Biblia katika mktadha wa kupata ujumbe wa kusaidiwa kukabilia na mambo mbalimbali.
 
MAKOSA MATANO YA WAFILISTI KWA SAMSONI
By CK Allan - Kitabu Cha Rejea ni kutoka WAAMUZI (Biblia)

Inasadikika kuwa watu waliouwawa kwa mkono wa Samson kwenye ule ukumbi (uwanja wa michezo) siku Ile Samson anajitoa mhanga, walikuwa ni wengi KULIKO wale waliouwawa wakati wa uhai wake!

Kwa Lugha rahisi kama Samson aliishi miaka 30

Idadi ya watu aliowaua kwa miaka hiyo 30 ni wachache kuliko watu waliouwawa ndani ya dakika chache za mwisho za uhai wake..

Kwenye mpira tungesema what a comeback!! 😝

Yafuatayo ni MAKOSA ya kizembe kabisa kufanywa na Wafilisti mpaka kupelekea kuuliwa

1. Kushindwa kumuua kabisa Samson pale walipopata nafasi!
Yaani walikutana na adui yao, eti wakamtesa, wakamtoboa Macho tu! Walitakiwa wakate kichwa. Bila shaka ndio maana wafalme wa kale wakitaka kuua adui zao wanasema "niliteeni kichwa chake!"

2. Kusahau kabisa kuhusu nywele za Samson!
Yaani Wafilisti walijua kabisa "ASILI" ya nguvu za Samson ni nywele, kwahiyo Suluhisho ni ilikua ni kuweka ulinzi kwenye nywele zake yaani zikitokea tu! Wembe.. ilibidi Samson aitwe kipara mwanzo mwisho

3. Kumpa Samson adhabu ya kuzunguusha mashine ya kusaga nafaka!
Walidhani wanamkomoa, Lakini technically haya yalikuwa mazoezi ya misuli kwa Samson! Hebu fikiria zaidi ya miaka miwili Samson anafanya mazoezi makali, ulitegemea nini!

4. Kumdharau Samson
Wafilisti walikuwa na dharau sana kwa Samson, hata siku ya tukio bado walikuwa wanamfanya kama kichekesho! Hawakuona "hatari" yoyote kwake! Just imagine mtu aliyewahi kuua watu elfu 1, leo wanamchukulia poa tu!

5. Kukubali ombi la Samson la kupelekwa kwenye nguzo
Yaani mtu aliyewahi kung'oa lango la mji akaweka kwenye bega lake akasepa nalo. Leo anawaambia naomba nishike hizi nguzo za hii nyumba "nicheze" vizuri!

Wafilisti wanakubali! Yaani hakuna hata mmoja machale yanamcheza tu?
nadhani mipango ya huyu mwamba ilikuwa chini ya Mungu mwenyewe
hizi vitu alikuwa akifanya vilikuwa si vya kawaida
 
Ila wanawake ni nouma jamani... Eeeh!!!
Sauti nyororo ya Delila na kudekadeka hatimae Samson akaingizwa mkenge...! Mwanzoni alijifanya mjanja mjanja wee..! Lkn mwisho wa siku ubaunsa wote chali..

Hv nyie wanawake mna nguvu gani ya ziada nyuma ya pazia la ushawishi?

Pokeeni maua yenu

Happy Sunday!
Kipochi manyoya mzee baba😂
 
Samson pamoja na wafilisti walikuwa wanafuata tu scripts za Mungu.
Kwa hiyo hakuna vile wangeweza kufanya kinyume na scripts za Mungu.
 
ila mambo mengine aisee inahitaji imani sana sio kidogo
kwamba jamaa alikamata mbwamwitu 300 na kuafungashia vienge vya moto wakaunguza mashamba
tunaomba tuongezewe imani
 
Back
Top Bottom