Simuelewi mama yangu!

UBaba sio sio kutunga mimba na kuikimbia au kuiacha kama mbwa koko,

Mapenzi ya kweli ni kwa Mzazi aliekua karibu na wewe ktk yote

Kumjua Baba ukubwani ilihali una mtu mwingine ambaye Nafsi yako inaamini ndie Baba yako, Ni kuharibaina siku na kuumizana bila sababu

Huyo kijana naamini baada ya taarifa hii, Hana amani moyoni

ILA MWAMBIE hIVI LILE LINALOMPA AMANI MOYONI NDIO JIBU SAHIHI
 
Umenikumbusha hadithi ya The caucasian chalk circle, mhusika jaji-Azdak, hakuwahi kuwa msomi lakini alitoa hukumuyenye kuonesha kuwa u-baba ni zaidi ya kutunga mimba na mama mtoto, inaenda zaidi ya hapo.
Binafsi, kwa kuwa kijana anajitambua na amekuwa akimuona baba wa ukweli akimwinua pale alipoanguka, basi, aende kumwona huyo 'baiolojiko baba' na amweleze ukweli kuwa amefurahi kumtambua lakini huyu anayeishi naye ndo baba wa ukweli
 
Kuwa baba ni zaidi ya kudonate sperms bana,so mwambie dogo baba yake ni huyo ambaye nafsi yake inamtambua na kumkubali kama baba yake,then huyo mwingine aendelee kubaki kuwa sperm donor.
 
Siku zote alikuwa wapi huyo baba, mi nadhani usipoteze muda wako. Mzazi aliyekulea.
 
Hii ya leo kaaaaliiiii sana. Pole saaaaana ndugu yangu.

I ma understand the psychological tumult you must be feeling. But.............. Ni bora kumjuwa biological baba yako.
What you may do is one; You must know the reason why you have not met him till to date? This you get out of your mom. Two. It is wise that you meet. But since it was you who had to wait all this time, make him come to you. He might be innocent of your ignorance. GOOD LUCK.
 
Da, Mpe pole huyo kijana, Huyo Mama labda keshapewa mshiko, au kuna siri na makubaliano usiyoyajua kati ya huyo mama na mpenzi wake wa zamani. Sijui huyu baba mlezi alimkuta mama tayari akiwa na mtoto au Mtoto alizaliwa kwa mama kwa kuiba nje ya ndoa? Tatizo wakina mama wengi wana tamaa sana, huku anataka na kule anataka mwisho wa siku mtoto ndiyo anakuwa majeruhi wa tamaa zake.
Sasa huyu kijana kumjua baba yake huyo itamsaidia nini? Mimi namshauri aendelee na maisha yake, Aachane na ujinga wa mama yake.
 
Laana huwa haziwashiki watu wasio na atia,mimi ningemzaba vibao huyo mama kwani huo ni udharirishaji,mwambie amsaidie na kumheshimu huyo anayemjua kuwa ni baba yake.
 
Only a fool would not want to increase knowledge. Kumjuwa haina maana kumkubali. Waweza ukamjuwa na ukaona kuwa yuko interesting. Let him come to you. But dont let him in your life easily.
 
Haya mambo ni kweli yako ktk jamii zetu, na hakuna wa kumlaumu maana huwa kuna vitu vingi sana vimejificha, cha muhimu kijana aangalie ni wapi aliko na kwa msaada wa nani, huyo baba yako wa kuambiwa na mama yako hana msaada wowote kwako mda huu. Siku hizi watu hatujali wale ambao hawatujali so don't care move forward with your current father, kwani ukimjua baba yako huyo atakusaidia nini? Mama yako ndo wa kumlaumu sasa ila mwambie tayari una baba amechelewa!
 
Una uhakika gani kwamba uyo ndio aliemleta duniani mama mcharuko huyo utulivu ziro alikuwa wapi siku zote asimpeleke kwa baba yake mpaka mtu anafika six,hapa ndipo wanawake wanaponichosha
Nadhani c vibaya akimjua mtu aliyemleta duniani ila huyo c baba yake...
 
Mimi ni kijana niliyehitimu kidato cha sita na kuchaguliwa kuingia chuo fulani kikuu huko Dom mwaka jana. Nimelelewa kwa mapenzi makubwa ya baba na mama ambyo yamenifanya niwe na mafanikio sana ya kishule na maisha kwa ujumla. Baba yangu amkuwa na rafiki wangu wa karibu sana na mara kwa mara huwa tunashauriana mambo mengi .

Wiki iliyopita mama alikuja kunitembelea na akaomba jmosi twende Dar. Nilipomuuliza kulikoni kwenda dar akasema eti anataka kunionyesha baba yangu, huyu aliyenilea na kunitunza kwa mapenzi makubwa mpaka leo si baba yangu mzazi! Nimepigwa na butwaa mpaka muda huu.

Naomba ushauri nifanyaje ndugu zangu? Akili inanizunguka.

***** Hii ni email niliyopokea toka maeneo ya Dodoma Kijana akiomba ushauri wa haraka juu ya hayo aliyoeleza*****

kijana hana haja ya kwenda kumuona huyo baba, na anatakiwa akae mbali na huyo mama, kwani laana nyingine kutembelea vizazi na kukubali kufanya hayo ni kuendeleza laana

KIJANA AKAE KARIBU NA BABA YAKE ANAYEMFAHAMU NA AMUWEKE MAMA HUYO MBALI SANA, ALAANI NA AFUNGE KABISA HIYO CURSE KWA UZAO WAKE
 
Muulize kama safari hiyo ya kutambishwa "baba",kama inajulika na huyo "baba mlezi"
maana huenda wana bifu! Ndiyo maana akafikia maamuzi hayo..
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom