Simu za Rais haziwi screened, Liyumba aenda hewani toka gerezani

Kama ni hivyo basi acha aozee lupango tu. Mimi mwenyewe kuna dogo mmoja aliwahi kunichukulia demu wangu chuoni. Nimemweka kiporo na ole wake aingie kwenye anga zangu.

ha ha ha ha ha sikuhizi unanifurahisha dahh kama jairo vile

Tz yetu sheria zipo kwa watu wa hali ya chini tu others they are above the law

Halafu oohh Kikwete hafanyi kazi, mngemuona Liyumba jela kama si Kikwete?

Kikwete hapo ndipo alipoonyesha udhaifu mkubwa, kwanza ni udhaifu mkubwa kumfunga Liyumba pekee BOT inasimamiwa na nani? nani mwenye mamlaka ya kupitisha matumizi makubwa kama yaliyomfunga Liyumba,kiasi kilichotumika kwa nini kisijulikane na wasimamizi wa BOT baada ya kuona matumizi yanazidi kilichoidhinishwa?

FaizaFoxy leo umejaribu kuharibu mada kwa kuingiza mada ya kiongozi wa serikali legelege aliye legelege.

jamaa anajipendekeza kwa rais ampe huruma ya kusamehewa kwenye sherehe za miaka 50 ya uhuru ambapo idadi kubwa ya wafungwa inatarajiwa watasamehewa na jk ktk maadhimisho ya miaka 50 haijawahi kutokea kwa idadi hiyo!

presidential pardon sio kwa makosa kama kubaka,mauaji,rushwa.abusive of power,ujambazi nk

Kwani alitiwa gerezani kwa kosa gani? I mean what brought about his incarceration?
Duh! Inaonekana umedandia daladala kwa nyuma bila kujua ni la route gani. Soma bandiko la mwanzo kabisa. Pole

Hivi Jamani huyu Liyumba hukumu yake inahusishwa vipi na Kikwete kama siyo kumchafua tu kikwete!! Hili swala la kusema Visasi ni utasa wa akili, inaonekana hata RA leo akikamatwa mtasema Kikwete anafanya visasi?! Watanzania sijui tutaamka lini? akili zetu zinafanyakazi kinyume ndio maana mtu anaweza kuongea bila aibu kitu kama hiki.

Makosa ya Liyumba yapo wapi na takriban mwaka mzima yamezagaa magazetini na hukumu yake ipo badala ya mtu kutafuta aisome na kubaini wapi alikosea na wapi alicheza vizuri katika kujenga hoja zake mahakamani! Vichwa vimeamua kujadili kinyume kabisa kuwa hana kosa basi visasi vya Kikwete! Duh bado tuna safari ndefu sana maana hata hatujui twendapo.

unachafua muelekeo wa MJADALA ARAFAT,hata yassir hakuwa hivyo

so jamaa kabakiza miezi saba tu atoke

inaweza hisifike saba, kwasababu nadhani rupango wana-punguza kidogo siku wengine wanasema wanatoa weekends wengine wanasema wanahesabu usiku na mchana sijui ipi sahihi ila najuwa haziwezi kuwa miaka miwili kamili lazima iwe chini ya miaka miwili

Magereza ya Africa bana hata simu marufuku?
Magereza ya wapi yanaruhusu simu? Labda ya kuzimu! Kama ni ulaya na Marekani simu ni marufuku,mfungwa anaruhusiwa kuongea na simu kwenye sehemu maarumu kwa rukhsa toka kwa maafisa wa magereza,tena simu zenyewe za magereza!

Back
Top Bottom