Simu yangu imegoma internet

lyaguchunya

Member
Aug 18, 2020
56
406
Habari za jioni wakuu,

Nimenunua simu kwa MTU kwa bahati mbaya nmejaribu kuaccess internet imegoma kabisa vile vimishale vya internet vinaonekana lakin akuna kitu simu ni Nokia G10.

Naombeni maaada wenu..
 
Kama sio shida ya mtandao eneo ulilopo

Fanya kuswitch off simu yako ukiwa umewasha data.
 
Back
Top Bottom