The blessed one1
Member
- Dec 13, 2023
- 30
- 106
Habari wakuu,
Juzi nilinunua simu aina ya Samsung galaxy, sasa nikaona niiwekee protector.
Kwa bahati mbaya fundi wakati anajaribu kuweka protector akawa amepasua , kioo cha simu yangu hadi kikavuja.
alikuwa mbishi kukilipa, hadi nilipomtishia kwenda polisi akaniomba nimpe siku mbili.
Sasa wasiwasi wangu ni je ikitokea fundi kapotea na simu yangu au akanigeuka, msaada gani wa kisheria naweza pata? au nifate mlolongo gani?
natanguliza shukrani wakuu.