Mkulungwa01
JF-Expert Member
- Jul 14, 2021
- 3,979
- 5,295
Uzinzi ni kufanya mapenzi na mke au mume asiye wako, au mwanamke tofauti na mke wako. Kama huna mke, pia kulala na mwanamke ambaye ameolewa au hajaolewa, huo ni uzinzi pia. Unazini.
'Take a look' kwa wakazi wa hapo mtaani pako kutoka nyumbani kwako mpaka nyumba ya 10 kila upande. Wana maisha gani? Je, unapenda uwe kama wao?
Usiishie hapo tu, angalia na mabinti pia kwenye nyumba hizo hapo mtaani, wana maisha? Ungependa uwe kama wao?
Unapojitafuta, chagua upande... kuwa kwa Mungu au ule upande wa pili. Kila upande una kanuni na taratibu.
Upande ule mwingine wewe kuzini siyo 'deal', utatakiwa tu kuyafuata kikamilifu masharti fulani fulani na miongozo katika maisha yako ya kila siku, ili uendelee kuwa juu.
Upande wa Mungu, kuwa subira. Jiepushe na uzinzi na dhambi nyingine. Ila kwa kuwa tunaongelea mafanikio yako wewe kijana unayejitafuta, achana na uzinzi.
Jikane, save, jiepushe na starehe zisizo na umuhimu na uzinzi. Kipindi hiki ndicho cha kujitafuta na kukusanya kwa malengo.
Kipindi hiki ndicho cha kupanga mipango ya kubadilisha kwa wazazi wako. Kipindi hiki ndicho cha kupanga mipango ya namna familia yako utakavyoitengeneza na kuiendesha.
Ukizini, baraka zako zote unampa mume/mke wa uliyezini naye, kama ulikuwa na mikosi unabaki nayo mwenyewe, kama huyo unayezini naye (mke/mume wa mtu) ana mikosi, utaichukua na kuiongeza na mikosi yako. Hutotoboa!
Acha kamari!
Roho ya umasikini imetaga mayai, imejichimbia kwenye UZINZI.
Vitabu vyote vitakatifu vimesema.
Kataa udanganyifu na mitego ya 'so called' pisi kali. Kipindi hiki cha kujitafuta wewe kijana, waone washamba tu. 'Trust me, they're not such special', ni wanaume tu wanawa 'overrate' kwa kauli zao na hakuna kingine chochote.
Usilaghaiwe, dhibiti mawazo yako. Waza 'positively', usiwaze 'negatively'. Ukiona mawazo yanakupeleka kwenye 'negativity' ya aina yoyote, basi haraka sana badilisha mawazo, usiruhusu mawazo hayo yakupeleke mbali. Waza 'positivity'.
Wakati mwingine mawazo mabaya yanakuja yenyewe kichwani. Wewe acha yapite usiyafuatishe. Usiyape nafasi. Kama la, waza kitu chanya chochote.
Nawahurumia mno vijana wanaojitafuta, kesho yao ni giza zito. Wanataka maisha mazuri mbeleni ila zinaa na uasherati hawataki kuacha.
Lah! Nchi yangu!.
NB
Maneno ndani ya funga semi ni ya lugha ya kiingereza.