Simshauri kabisa kijana anayejtafuta ajihusishe na uzinzi

Sema tu hujui kutongoza kudanganya umepigwa. Na kitu kizito.

Unaweza usizini ukakopesha pesa MTU na asikulipe.

Ukatapeliwa.

Ukavamiwa.

Mafanikio ni mpango wa Mungu.

Shauri yako
 
Inakuweje iwe kupoteza ni baraka tuu ? Na kupokea ni laana na mikosi pekee.

kuacha dhambi fulani (mfano uzinzi) kwa sababu fulani fulani za kimafanikio na sio kuacha kwa sababu ya utii na upendo wa kweli kwa Mungu ni Unafiki mbele ya Mungu na ni kujidanganga mwenyewe na Mungu hadanganyiki, Mungu sio mbaguzi na amri zake hazina shuruti wala masharti namna hiyo kwamba ukizivunja (mf ukizini) utajifungia milango ya mafanikio fulani fulani, Mungu sio mjinga namna hiyo ingekuwa ni hivyo basi hakuna binadamu ambaye angezini sababu hakuna ambaye hapendi kufanikiwa/kutoboa maishani. Kanuni na milango ya mafanikio ipo kwenye mzani sawa kwa wote wema kwa wabaya, wazinzi kwa wasiowazinzi nk.

NB: mimi ni MZINZI ila sisapoti UZINZI, nitaacha UZINZI nikishapata ndoa na mke wa ndoa.
Wewe ni role model wangu
 
Kwa nini Sulemani alisema "kijana MPUMBAVU, MJINGA 'AZINIYE' anaiangamiza nafsi yake? Why 'aziniye', na why asisitize sana? Hope umepata jibu hapo.

nadhani hiyo ni excuse? Kwamba unazini kisa hujaoa?
Sasa kama huyo Suleiman alijua hayo, kwa nn alikuwa na michepuko 300?? Lakn bado alikua na mafankio makubwa na alimiliki mali zooote na alipata kila analohitaji
 
Inakuweje iwe kupoteza ni baraka tuu ? Na kupokea ni laana na mikosi pekee.

kuacha dhambi fulani (mfano uzinzi) kwa sababu fulani fulani za kimafanikio na sio kuacha kwa sababu ya utii na upendo wa kweli kwa Mungu ni Unafiki mbele ya Mungu na ni kujidanganga mwenyewe na Mungu hadanganyiki, Mungu sio mbaguzi na amri zake hazina shuruti wala masharti namna hiyo kwamba ukizivunja (mf ukizini) utajifungia milango ya mafanikio fulani fulani, Mungu sio mjinga namna hiyo ingekuwa ni hivyo basi hakuna binadamu ambaye angezini sababu hakuna ambaye hapendi kufanikiwa/kutoboa maishani. Kanuni na milango ya mafanikio ipo kwenye mzani sawa kwa wote wema kwa wabaya, wazinzi kwa wasiowazinzi nk.

NB: mimi ni MZINZI ila sisapoti UZINZI, nitaacha UZINZI nikishapata ndoa na mke wa ndoa.
Nakazia sentens ya mwisho
 
Naona tumeanza kupangiwa hadi kwenye uchakataji :D:D:D

pombe situmii,sigara siijui, bangi hata sijui inafananaje, mpira league sijui zinaendaje, marafiki sina, kilevi chochote stumii xa kwanini hata mademu unikataze tusipangiane matumizi asee ntatafuta hvyohvyo kilaana hadi nijipate
 
Back
Top Bottom