magombe junior
JF-Expert Member
- Sep 13, 2012
- 2,015
- 1,032
:KWANI WANACHAMA WA CCM NA CDM NI MAADUI??? :NANI YUKO SAHIHI ZAID YA MWENZAKE??? :NAN ANAPASWA KUMHAMASISHA NA KUMSHAWISH MWENZAKE AJIUNGE NA CHAMA CHAKE(ANACHOKIAMIN)??? Mara nying hua najiuliza haya maswali na mwisho hua naishia kutabasamu kwani mpaka sasa sijaona dalili za yeyote kati ya wanachama wa vyama hiv viwili kujadili na kufikia hatma kiungwana zaidi ya kuona wakitupiana maneno ya shombo na yasiyo na busara na kuishia kuitana migambo na magamba! NI matumaini yangu kupitia uzi huu (ingawa uko kwa ufup) uwe ni ufunguz wa mjadala na kuona haja ya kujadili jambo hili na kuacha malumbano ya kivyama na badala yake kufanya mijadala kwa maslah ya taifa kwani iwe ccm au cdm vyote ni vyama vya siasa ambavyo kimsingi vinamalengo ya kuongoza serikali! Kwa roho safii nawasilisha