Simple ask: Kwani wanachama wa ccm na cdm ni maadui???

magombe junior

JF-Expert Member
Sep 13, 2012
2,015
1,031
:KWANI WANACHAMA WA CCM NA CDM NI MAADUI??? :NANI YUKO SAHIHI ZAID YA MWENZAKE??? :NAN ANAPASWA KUMHAMASISHA NA KUMSHAWISH MWENZAKE AJIUNGE NA CHAMA CHAKE(ANACHOKIAMIN)??? Mara nying hua najiuliza haya maswali na mwisho hua naishia kutabasamu kwani mpaka sasa sijaona dalili za yeyote kati ya wanachama wa vyama hiv viwili kujadili na kufikia hatma kiungwana zaidi ya kuona wakitupiana maneno ya shombo na yasiyo na busara na kuishia kuitana migambo na magamba! NI matumaini yangu kupitia uzi huu (ingawa uko kwa ufup) uwe ni ufunguz wa mjadala na kuona haja ya kujadili jambo hili na kuacha malumbano ya kivyama na badala yake kufanya mijadala kwa maslah ya taifa kwani iwe ccm au cdm vyote ni vyama vya siasa ambavyo kimsingi vinamalengo ya kuongoza serikali! Kwa roho safii nawasilisha
 


Naibu Katibu Mkuu wa Chadema na Mbunge wa Kigoma Kaskazini Zitto Kabwe akiwahutubia wananchi na wanachama wa chama hicho waliohudhuria katika mkutano wa hadhara uliofanyika jana Karatu mjini Mkoani Arusha.
AMEZUNGUMZIA MAMBO MAKUU MATATU

1.Taarifa ya Kamati ya Ngwilizi(Kutaka taarifa iwekwe Wazi)
2.Hoja ya mabilioni yaliyofichwa Uswisi na
3.Ulazima wa kuindoa CCM madarakani mwaka 2015 ili CHADEMA iongoze nchi na ktutokomeza umaskini kwa kupambana na ufisai na kukuza uchumi wa vijijini.

KWENYE MKUTANO HUO,MH:ZITTO KABWE ALIMABATANA NA WABUNGE WENGINE
TUNDU LISSU
JOSHUA NASSARI
ROSE KAMILI
 
Hilo sio swali. PERIOD.


Mtu yeyote aliyefanya mtihani wa darasa la nne (wa shule ya msingi ya serikali/kata) haulizi swali hilo maana ana majibu yote. Sasa ina maana wewe hujavuka hilo darasa? Tusichoshane tafadhali. Twende kwenye mambo yenye tija
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom