Simpendi Kongosho wa JF najisikia kumchukia tu from no where.

Kongosho upo juu na ndio maana huyu mrembo anakufuatilia kia aina. Tafuta jins ya kumpata ili uka...
 
Heeh!....thsz wrong way!
Taxxxxxxiiiiii.......psi psssiiii
 
Thats the beuty of life son.

Wengine utawachukia wengine utawapenda, lakini kwa wale unaowachukia usiwatendee vibaya.
 
Umeshaanza mipango ya kurudia mitihani ya kidato cha nne wa kusoma?
 
Sijui ni kwa nini nikiona thread zake nachukia, nikiona alipochangia natamani nifute coments zake hlf huyu mtu simjui hanijui lkn hata sielewi kwa nini simpendi.

Najua mpo wengi wenye chuki na watu/mtu humu JF hebu tueleze nani humpendi humu JF na nani unampenda? Hata thread zake unazipenda. Mimi nampenda EXCELLENT.

Freedom of speech...
 
Ni haki yako yakikatiba kumpenda au kutompenda mtu, endapo hutamtendea mabaya huyo usiempenda...
 
Mimba changa zilizopatikana Valentine day watoto wake huzaliwagwa Novemba zinakujaga kituko sana. Pole ndugu itakutesa itoe uibebe mwezi wa sita kipindi cha kula mahimdi mabichi itakufanya upende kila mtu
 
Kongosho upo juu na ndio maana huyu mrembo anakufuatilia kia aina. Tafuta jins ya kumpata ili uka...

kumbe wakusoma ni mrembo?nilijua ni male(gender)!!but mh hata huyo kongosho mwenyewe haeleweki jinsia yake...usanii mtupu humu
 
Umaarufu mwingine kuupata vigezo vyake ni kama :
- Uwe mtambomtambo kiaina !
- Pasua kichwa staff
- Uso wa Mbuzi !
N.k n.k
Aidha Nyoka kumuuma Binadamu si habari, na sio issue.
Ni habari na pia issue Binadamu kumuuma Nyoka!. Nina imani Thread ya kutueleza "Unampenda uliemtangaza hapa kumchukia"
Umeshaindaa kesho ni kuipost tu,
Mimi nakutakia kila la kheri, pamoja na pole kwani naona umetumia nguvukazi nyingi kuelekea unapohitaji.
 
kumbe wakusoma ni mrembo?nilijua ni male(gender)!!but mh hata huyo kongosho mwenyewe haeleweki jinsia yake...usanii mtupu humu

Kongosho ni kiraka anacheza namba zote halafu anazimudu...kama O'shea vile.I wonder how can someone hate such a lovable creature.
 
Sijui ni kwa nini nikiona thread zake nachukia, nikiona alipochangia natamani nifute coments zake hlf huyu mtu simjui hanijui lkn hata sielewi kwa nini simpendi.

Najua mpo wengi wenye chuki na watu/mtu humu JF hebu tueleze nani humpendi humu JF na nani unampenda? Hata thread zake unazipenda. Mimi nampenda EXCELLENT.

Via_masaburi.
 
dah, yaani huyu ananifanya naongea maneno nlofunga
ngoja mwezi uishe uone navyokuchukia.

Afu na mie sikupendi hata kidogo. Kwaresma hii nimefunga kuongea na wewe.
Hiyo bio oil, mweeh! Ndo m'badala wa naniliu? Ngoja mwezi wa toba uishe basi.
 
we ndo fa la kweli,
unajuaje kama kongosho siyo mama/baba yako
kwani unamjuajuaje, umevuta za kwa mzee band a ati eeh.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom