Simpendi Kongosho wa JF najisikia kumchukia tu from no where.

konnieeeeeeee pole madam/sir kwa unwarranted attack!
Btw kuna mtu namchukia humu maana ana tabia za kunipiga makonzi,tena anikome,boooo!
 
Mimba changa zilizopatikana Valentine day watoto wake huzaliwagwa Novemba zinakujaga kituko sana. Pole ndugu itakutesa itoe uibebe mwezi wa sita kipindi cha kula mahimdi mabichi itakufanya upende kila mtu

ooopsss..... hard to swallow!!
 
sijui kapotelea wapi?
Au kaenda rudisha fomu za chuo?

Au siku ile juzijuzi wakati unawachoma wagojwa Clisterpan, labda ilipofika zamuye ulimruka nini ?
Labda !
Ulijiongeza ukaona yeye "wa kuridi " uje umdunge usiku kisha ukamsahau!
Hebu sema nae kama sababu ndo hiyo basi huisha madungaji , mdunge na kama atakuanao wenzake wanaojisikia kudungwa we dunga tu .
Tumekuteua.
 
Mimba changa zilizopatikana Valentine day watoto wake huzaliwagwa Novemba zinakujaga kituko sana. Pole ndugu itakutesa itoe uibebe mwezi wa sita kipindi cha kula mahimdi mabichi itakufanya upende kila mtu
Tobaaaa, afu mie my b.day is on 14th of Nov
 
Hakuna ninayemchukia katika jamvi hili la JF nawapenda wote inspite of who they are and where they are coming from
 
Nitakuwa siwapendi wasiompenda Kongosho.
BTW - Unasoma na mshumaa? Angalia usinzie hapo.
 
ana ngozi ngumu
sindano ikataka kuvunjika
eti wa kudunga na mkuki afu unapaka dawa mbele

Au siku ile juzijuzi wakati unawachoma wagojwa Clisterpan, labda ilipofika zamuye ulimruka nini ?
Labda !
Ulijiongeza ukaona yeye "wa kuridi " uje umdunge usiku kisha ukamsahau!
Hebu sema nae kama sababu ndo hiyo basi huisha madungaji , mdunge na kama atakuanao wenzake wanaojisikia kudungwa we dunga tu .
Tumekuteua.
 
mi nampenda kongosho

kuna lecturer wangu mmoja alitamani dada tuliyekuwa naye group moja wakati wa rotation za wodini,jamaa akawa anamtwanga maswali magumu yule dada na akikosa anamwandama zaidi. Yule dada akajiona hopeles ikabidi aanze kutengeneza ukaribu na dr,baada ya muda tukasikia jamaa amekula mzigo. Ukimpenda mdada mzuri mshushe hadhi kwanza,atasogea mwenyewe. Ndo principle jamaa anataka aitumie.
 
ana ngozi ngumu
sindano ikataka kuvunjika
eti wa kudunga na mkuki afu unapaka dawa mbele

Kumbee ndo maana !
Alafu mbona katulia hivi ? Au ushamdunga kimyakimya nini ! Haya nakukumbusha
sindano moja , kwa mgonjwa mmoja.
 
ha a ha ha
hamna sindano za kuchemsha hapa

sindano moja, mgonjwa mmoja.

Kumbee ndo maana !
Alafu mbona katulia hivi ? Au ushamdunga kimyakimya nini ! Haya nakukumbusha
sindano moja , kwa mgonjwa mmoja.
 
Sijui ni kwa nini nikiona thread zake nachukia, nikiona alipochangia natamani nifute coments zake hlf huyu mtu simjui hanijui lkn hata sielewi kwa nini simpendi.

Najua mpo wengi wenye chuki na watu/mtu humu JF hebu tueleze nani humpendi humu JF na nani unampenda? Hata thread zake unazipenda. Mimi nampenda EXCELLENT.
I see...!!
 
We naye unezidi kiherehere jana vita na Excellent leo humpendi Kongosho na Kesho
Utataka kumuua nani ..?

Chuki zako zakijinga kweli ..
Utamchukia Vipi mtu bila sababu mbaya
Zaidi hata haumfahamu .. em punguza ku
Tafuta umarufu kwa nguvu ..

Dah.....nimefurahishwa sana na hii comment! Thenki yuu vere vere!!!! Lol
 
Huyu anajitafutia umaarufu kwa kupitina jina la superstar Kongosho, hamna lolote.
Kongosho you are too kind to entertain him,
bila wewe kuchangamsha hapa sidhani kama thread yake ingepata hata wa kuisoma!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom